UDSM imeachia round 4 & 5

UDSM imeachia round 4 & 5

jamaangu umeongea jambo la msingi sana asee, unajua kuna wengine wapo ukerewe huko na wanahitaji kuomba ruhusa na majina hayajatoka, basi hata kwa nyie mliopo dar mungu akiwaongoza mkienda udsm na mkapata jibu basi na wale wa mikoani itabidi waombe ruhusa hata kwa kutumia profile view ya nacte. kaka MPAMBALUMA fanyeni ivo ariff tunawategemea sana maana huu msiba bado ni wetu na ukifanya ivo utasaidia vijana wenzako zaidi ya 1000 so fanyeni asee.

Msijali ndugu, tupo pamoja pia tahakikisha kesho kila kitu kipo Sawa pia tajitahid nifike makao makuu ya Nacte ili tuone wanatusaidiaje!?
 
Msijali ndugu, tupo pamoja pia tahakikisha kesho kila kitu kipo Sawa pia tajitahid nifike makao makuu ya Nacte ili tuone wanatusaidiaje!?

ebu tuwe serious kidogo mwene yupo dar na mwene nia ya dhat atoe namba alaf watu wamtumie namba za watu watakae jumuika nae kesho n vzur ikfanyika hvo mapema atume no then watu wamtumie no ili awaunge group kesho mjue mtaonana vp?wengne tupo mikoan.tuwaklshen hasa wa udsm cz kule ndo kwene utata zaid s mnatambua hal yetu ilvo lakn
 
ila leo tutajua mbivu na mbichi, nimemtuma mwana akacheki na utawala ili apate jibu la uhakika kama tunaenda tujiandae au kama mwaka huu hatuendi basi tuendelee na michongo mingine ya kutafuta maisha, maana kama mungu hajapanga basi huwezi force asee na ukilazimisha utashangaa unaenda ishi maisha kama umesuswa , ila wajomba tusikate tamaa mwisho wa siku kitaeleweka tuu, ila tujipange kwa lolote litakalotokea.

hujatupa feedback mkuu
 
hujatupa feedback mkuu

ebana mshikaji alienda siku ya jumamosi pale udsm jengo la utawala chumba namba 105, akajaribu kujieleza kuhusu hii inshu jamaa wakamjibu kuwa mhusika wa izo mambo kwa siku hiyo hajaingingia kazini, kwaiyo akashauriwa arudi siku ya leo jumatatu, hivyo basi bado nategemea majibu kutoka kwa uyo mwanetu, alafu pia wana wengine kina mpambalachuma na wengineo kama mungu atawaongoza leo basi wanaweza kutuletea feedback pia,
 
Wale wa udsm tupeane mrejesho namba mlizoziweka hazipatikane mmefikia wapi vp wanasemaje je bado kuna batch nyengine
 
Morning humu vip inakuaje m?ana kesho ndo siku ya ku report UDSM na chuo hawajatoa majina yetu tunafanyaje ndugu m?ana hatujielew wengine hapa
 
Nafikiri sasa uchaguzi umeisha maana ulikuwa ukienda wanasema mpk uchaguzi huishe maana sehemu hile ilikuwa inatumika wale wa dar muende kuhuliza kama kuna batch bdo imebakia tuwe na matumaini maana tunakosa usingizi
 
Wale wa Dar jaribuni kwenda kuhuliza kama bdo kuna batch nyengine
 
vipi kuhusu tarehe ya kuripoti awaja tbadirishia kama wenzetu udom...!!?
 
Morning humu vip inakuaje m?ana kesho ndo siku ya ku report UDSM na chuo hawajatoa majina yetu tunafanyaje ndugu m?ana hatujielew wengine hapa

Mkuu nacte walikuchagua provissionaly kwa faculty gan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom