Sasa kama ulishindwa kuuliza pale pale Admissions, huku unadhani utapata jibu zuri zaidi ya kule? Wewe ungewauliza hivi hiyo sehemu ya mwanasheria kujaza ni ipi, wangekuonyesha. Kama ungetaka kwenda nje ya UDSM kwa mwanasheria mwingine, bado usingenyimwa hiyo form, ungepewa ukagonge huko halafu uirudishe pale mchakato uendelee. Walichofanya ni kurahisisha kwa kumtumia mwanasheria wa chuo, lakini witness ya lawyer ipo pale pale. Nakushauri uwe mdadisi pale unapodhani kuna utata, ila ulizia mahali husika, sio kila kitu hadi uje JF