Udsm hali inazidi kuwa tete!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm hali inazidi kuwa tete!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bampami, Dec 11, 2011.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  -Ni baada ya wanafunzi waliokamatwa katika maandamano kuwa suspended
  9 kati ya hao wamekuwa suspended miezi nane.
  23 kati ya hao, ambao wana kesi mahakamani kusimamishwa mpaka kesi zao zifutwe.

  BOOM BOOM BOOM:
  -Boom lacheleweshwa, ni baada ya kupata tarehe 8/12/2011 kwa mjibu wa ratiba ya Bodi ya Mikopo, mpaka sasa kupo kimya, hali si shwari, ile formula ya mlo kwa siku 001,011,100 na 010 imeshika chati.
  -Wengine washindia mikate na mihogo ya Kariakoo(Kijisoko cha hapa Udsm)
  NINI HATIMA KUFIKIA JUMATATU KUHUSU BODI NA WANACHUO?
  NINI HATIMA YA WENZETU HAWA WALIOFUKUZWA?
  >KUNA KILA DALILI JUMATATU "KUNJI" ALIMAARUFU KWA JINA LA ROOT KUWEPO.
  Wadau wa Jf hayo ndo yanayoendelea hapa UDSM, Kwa habari zaidi tuonane mda wowote pindi lolote litakalotokea.

  Nikiripoti kutoka hapa UDSM mimi ni BAMPAMI wa Jffffff!!
   
 2. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  kunji/route ni mgomo
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Watu wamefulia,kias kwamba ukiwa na buku 2 unang'oa demu cku nzima..
   
 4. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Poleni sana mi nikiwa hapo chuo kifungwa mara mbili tukaa nyumbani hadi tukachoka,kweli bila hela ni mbaya,hivi ile system ya kuweka bili kwa bwashee coet na ile cafteria bado ipo?nafikiri wa2 wajienrol ili walao chakula kiwe cha uhakika,
   
 5. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mkuu, hii system ilitusevu sana Pale FOE.Sijui inaendelea au la.Ila unafanya unaendelea kula wali kuku hata kipindi ambacho wenzako wamechoka.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kama napiga kunji napiga kimpango wangu na nikilost kivyangu-Sugu(DSM)
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Nyie mmechanganyikiwa. Hivi huwa mnasoma saa ngapi?
   
 8. Uluwaru

  Uluwaru Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepata uhakika kuwa hujasoma chuo,wala sikulaumu kwa hayo maneno niliyotegemea yatamkwe na teja
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  alidisco udom huyo, asikupe presha wala.
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hela zote zimetumika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru
   
 11. c

  cheks lady Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUMETHUBUTU, TUMEHARIBU, NA TUNAZIDI KUNING'INIA............SOON 2TAANGUKA! JE WE WADHAN 2TAFIKA? lyf without boom kwa mtoto wa mkulima ni ovyo!
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,183
  Trophy Points: 280
  Poleni
   
 13. m

  maluguthengosha Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aisee hii ndo tz udom wengne hata bum la kwanza bado wanaambiwa wako batch ya kumi na nne afu mpaka kusaini hv mbna vyuo vngne hii issue ya kusaini mwaka wa 3 n 2.mbna haipo
   
 14. n

  ng'wabuki Member

  #14
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muulizeni afsa mikopo wenu wa udom
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  kaulize SUA, wananikumbuka.
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  njoo nyumbani nikuonyeshe certificate kibao za SUA....
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we bwana,watu tunakujua humu jf,umekula mznga udom,kajipange upya urudi tena shule mkuu.
   
 18. K

  Kiganda Senior Member

  #18
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ina maana SUA wanasoma vilaza? Acha kudhalilisha vyuo vya watu bana!
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  kwa mawazo yako ya kitoto utaona hivyo.
   
 20. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kumbe una cheti cha nyuki na misitu na sasa hivi unaishi porini kama nyani! Pole na kazi Mzee.
   
Loading...