Vurugu kubwa zatukuta udsm hali boom tayari lishaingizwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu kubwa zatukuta udsm hali boom tayari lishaingizwa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bampami, Dec 12, 2011.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  Baada ya siku kadhaa kuwepo kwa tetesi za mgomo hapa udsm, leo tena limeibuka upya.
  Hali ya vurugu za hapa na pale ikiwapo kuwatoa watu madarasani na mabwenini ilianza mida ya saa mbili asubuhi, hali watu wakijua ni kwasababu ya kucheleshwa kwa boom baadhi yao wakaliunga hali iliendelea kusambaa chuo kizima, wakati huo revolution square ikiwa imehamishiwa utawala.Hapo ndo kila ki2 kelele za madai na hoja mbali2 zilitolewa na wanaharakati.Kufikia saa kumi boom likawa lishaingizwa kwa wenye a/c zao crdb.
  Pamoja na hayo hali ilizidi kuwa tete pale utawala sababu kuu ni kuwarudisha wenzetu 8 ambao walibaki kati ya 43 walorudishwa, vurugu hzn ziliendelea mpaka kufikia hatua ya kupiga mawe Mashuttle mawili yani macosta yanayotumika kupeleka wenzetu mabibo.Mpaka saa mbili usiku ndipo hali kidogo imetulia.
  -Nini hatima ya hao 8 na
  NINI KITAJIRI KESHO! Tuonane kesho Mungu akipenda,


  Nikiripoti toka hapa hall 5 firsty floor room namba...
  Mimi ni Bampami wa jfff!!
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sasa shuttle zinapigwa mawe kwa nini?
   
Loading...