UDSM 3rd round

Kinaxe

New Member
Oct 13, 2018
1
1
Habari Zenu Wana Jamii Forum mimi kwenye acount yangu nliyofanyia aplction udsm naona kwenye selection result page sioni status zaid naona wameandika an erro sijui na nyie wenzangu mmeandkiwa ivyo ana nini maana yake
 
duh kumbe wengi mimi wameniandikia" an internal server error occured" nikawapigia wakaniambia subiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom