Udongo mfinyanzi kutoka Rwanda

hawa wadudu nimewatumia kiasi cha kutosha. Mungu hawezi kukupa kila kitu, bahati mbaya mashine zao sio poa kivile, nyingi nilizokutana nazo ni oversize, halafu hawajui kujituma kwenye 6x6
Mkuu unaonekana una uzoefu sana na hawa Wanyarwanda, hebu tema madini hapa uliwapataje au unafahamu lugha yao.
 
Mkuu unaonekana una uzoefu sana na hawa Wanyarwanda, hebu tema madini hapa uliwapataje au unafahamu lugha yao.
Ninaishi jirani nao, kwa hiyo nikipata muda uwa nazama kwao. sio wajanja sana kama na uwezo wa kuwakamatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…