UDOM wahitimu wanalia

UDOM wahitimu wanalia

Habari wakuu,

Kuna watoto waliomba course ya Forensic Science (Diploma) ambayo kwa mujibu wa Prospectus ya hapo UDOM ni miaka miwili.

Sasa vijana hadi leo hawana ajira. UDOM hili linawahusu na litawahukumu sana.

Asanteni.
Kazi ya chuo sio kukutafutia ajira
Ukiomba kozi kama hiyo asilimia kubwa ya ajira inatoka polisi CID,
Wajilaumu wanafunzi na wazazi wao
 
Si useme tu kuww wewe ndie unaelia??
 
Kwani kazi ya chuo ni kukutafutia ajira ,kazi ya chuo ni kutoa ujuzi na maarifa.
 
Hizi fani za Sheria, siasa, utawala, uhasibu, social science nk sio rafiki kwa Taifa masikini zaidi zaidi zinapoteza nguvu kazi tu na kutia hasara...
This is not always applied,
assume mtu kasomea sheria afu kapata office pale mahakama ya kisutu
au kasoma utawala afu kawa katbu mkuu wa wizara

au unasomea sheria afu uafungua office yako ya mwaasheria
 
Hakuna mtoto wa kigogo utamkuta anahangaika na bahasha asee ni sisi huku wa chini ndo kutwa kusambaza cv
Hakuna mtoto wa kigogo utamkuta anahangaika na bahasha asee ni sisi huku wa chini ndo kutwa kusambaza cv
Kipindi baba zao wanahangaika na shule baba yako alikuwa anabadiisha chupi, wacha waneemeke
 
Kipindi baba zao wanahangaika na shule baba yako alikuwa anabadiisha chupi, wacha waneemeke
Hill sio la kweli
Wengine wazazi wao wamesoma sana lakini hawana uwezo wakuwaweka watoto wao sehemu nzuri za kazi.
Na usikariri eti kila waziri,mbuge ,DC , rc wamesoma sana kumbuka kigezo ninujue kusoma na kuanfika
 
[/QUOTE
Elimu zao hazikuwasaidia chochote, Ukisoma halafu ukashindwa kupambana na mazingira yako halafu ukazidiwa na wa darasa la saba ujue wewe ndo ulikuwa kichwa maji!
 
Hill sio la kweli
Wengine wazazi wao wamesoma sana lakini hawana uwezo wakuwaweka watoto wao sehemu nzuri za kazi.
Na usikariri eti kila waziri,mbuge ,DC , rc wamesoma sana kumbuka kigezo ninujue kusoma na kuanfika
Ukisoma halafu darasa la saba akakuzidi maarifa ujue wewe ndo ulikuwa kichwa maji, hao wazazi unaowasemea wewe elimu zao hazikuwasaidia japo sishabikii ubaguzi

Naomba kuelewaka kuwa Ukiwa kama mzazi una nafasi wajibu wako ni kuangalia mazingira mazuri wanao wasiteseke, ikiwa unajua hauko kwenye system ya ajira ni afadhali ukuze vipaji vyao vije kuwasaidia au waandae kushika biashara zako, Mimi Siwezi kuona nafasi nzuri ya ajira inampita mwanangu ambaye ana sifa ukiangalia uwezo wa Kumsaidia ninao
 
Mtu anae soma anawaza kazi ya kuajiliwa nampa pole tu,

Labda kwa wale wa baba kanituma hongera
 
Wangeenda Veta miaka 2 ushabeba kozi nyingi
 
Wangeenda Veta miaka 2 ushabeba kozi nyingi

Huu wimbo wa veta veta umekua too much sasa, elimu ya chuo kikuu ina umuhimu wake pia. Mtu kafaulu vizuri masomo ya arts aache kwenda kuchukua bachelor aende veta? Ni wajibu wa serikali kutatua tatizo la ajira kwa vijana suluhisho sio kwenda veta peke yake.!
 
Habari wakuu,

Kuna watoto waliomba course ya Forensic Science (Diploma) ambayo kwa mujibu wa Prospectus ya hapo UDOM ni miaka miwili.

Sasa vijana hadi leo hawana ajira. UDOM hili linawahusu na litawahukumu sana.

Asanteni.
pole mkuu naona kama kawaida yetu umejibiwa tofauti kabisa na ulivyotegemea,hii kozi ni nzuri ILA kwa nchi yetu hii kupata cha kufanya au kuajiliwa ni ngumu mno.ila kama umeisomea jitahidi upate nafasi kwenda nchi ya dunia ya kwanza au third world wenye utaalamu na vifaa kama dunia ya kwanza ukasomee zaidi hasa ukijikita kuwa private investigator,hii taaluma bado ni ngeni kwetu ila siku zijazo itakuwa ni moja ya hot cake,kuna uwezekano wa sharia kubadilishwa na kuruhusu watu kuajili private inverstigators hasa kwenye kesi zenye utata kama kupotea kwa Saanane,kuuliwa kwa dada yetu Akwilina,au kupotea kwa yule mwandishi pale kibiti,kwa hiyo usikatishwe ndoto zako soma tafuta wadhamini just imagine unakuwa na foresinc lab yako hapa Lingusenguse utasaidia wengi kupata haki na wewe kutengeneza maisha.
 
Mbona vijana wa vigogo wanaajiriwa angalia mawaziri woote tangu nyerere mpaka kikwete watoto wao wote wamepata kazi serikalini
Labda tukugeuzie swali... Je wewe ni waziri sasa utakubali mwanao asote mtaani?... Wakati upo katika moja ya ngazi kubwa ya serikali
 
Taifa hili watu wake walitakiwa wasome elimu ya kati ya ufundi mpaka 2050.. Baada ya hapo automatically kutakuwa na mahitaji ya wanataaluma wengine baada ya hawa technicians na engineers kutengeneza mamilioni ya ajira... Twendeni tukajifunze China, Korea, India, Indonesia, Brazil, Japan nk. Elimu ya ufundi na teknolojia ikitolewa vizuri itatengeneza mamia na maelfu ya ajira na kuajiri wengine...

Mwarobaini ni National Qualifications Framework (NQF). Sina hakika iwapo imeshahuishwa tayari.
 
Back
Top Bottom