Na bado
Kwa nionavyo mimi chuo kikuu ni Sido na Veta tu!
kwani walienda kusoma ajira au course.?
Nenda kalime dogo acha kulialia mitandaoni. Pambaafu!!Sasa vijana hadi leo hawana ajira.
Habari wakuu,
Kuna watoto waliomba course ya Forensic Science (Diploma) ambayo kwa mujibu wa Prospectus ya hapo UDOM ni miaka miwili.
Sasa vijana hadi leo hawana ajira. UDOM hili linawahusu na litawahukumu sana.
Asanteni.
Hakuna mtoto wa kigogo utamkuta anahangaika na bahasha asee ni sisi huku wa chini ndo kutwa kusambaza cvMbona vijana wa vigogo wanaajiriwa angalia mawaziri woote tangu nyerere mpaka kikwete watoto wao wote wamepata kazi serikalini
Forensic science ni Wale jamaa wanaochunguza maiti ili kujua chanzo ni nin??? Hii ipo hasa kwenye vifo vyenye utata(kuungua ,kuuwawa) so wanatumiwaga hasa na polis kwenye uchunguzHiyo Diploma inahusiana na nini?
Hebu tufafanulie sisi st.Kayumba!.
Hizi fani za Sheria, siasa, utawala, uhasibu, social science nk sio rafiki kwa Taifa masikini zaidi zaidi zinapoteza nguvu kazi tu na kutia hasara...