Udom vp mishahara ya feb kwa staff wapya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom vp mishahara ya feb kwa staff wapya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyongolo, Mar 7, 2012.

 1. N

  Nyongolo Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna habari nimeambiwa na ndugu yangu aliyepo huko eti takribani waajiriwa wapya wa Choo Kikuu Cha Dodoma wapatao 80 hadi 100 hawajalipwa mshahara wa mwezi uliopita mpaka hv sasa. Kitu cha kushangaza uongozi umekaa kimya bila taarifa yoyote,tetesi zinasema kuwa taarifa iliyotolewa kipindi cha nyuma ilikuwa inahusu staff wote(wapya na wa zamani) lakini wale wa zamani walishalipwa muda mrefu. Na kwamba hawa staff wapya wengi wao wana mwezi wa nne toka waajiriwe na walikuwa wakilipwa kama kawaida mishahara miezi ya nyuma. Hii imekaaje wadau mlio huko mtujuze japo kwa uchache mana ndugu zetu wanapata taabu hasa ukichukulia wengi wao ni wageni ktk mji huo na maisha kudaiwa kuwa magumu,rejea posho za waheshimiwa! My take,km hawakupata kibali si wasingeajiri na pia pesa walizokuwa wakiwalipa kipindi cha nyuma zilitoka wapi? Usanii mwingine bana,aaaaaargh inaboa sana!
   
Loading...