Melkiard Junior
Senior Member
- Aug 12, 2018
- 150
- 79
kuwa na disco 63 first year sio fact ya kufanya chuo kuwa hatari (siidjarau UDOM though, naiheshimu na naipenda) kuna vyuo first year wana disco 200 huko, so ni kuwapa pole tu hao walio disco, wajipange wa apply chuo tena mapemaKWELI UDOM HATARI.HATA JAMAA YANGU ANAFUNDISHA PALE SOCIOLOGY ANASEMA DISCO ZIPO 63 FIRST YEAR
kuna Vyuo mtu ana GPA ya 2.2 na ana discoOoooh udom msuli wake skuhizi sio wa kitoto ukizingua unasepa peupe 0.1 mtu unadisco unajiona mtu ana GPA 1.7 out yan 0.1 kakosa afanye sup na hakuna anaemfikiria coz work unasain had NNE yaan 4 na kwenye SR unaikuta hio hio madogo msiskilize watu udom inakuja kwa kasi sana shule ya pale ni ngumu mno km mvivu wa kusoma hata sisi nakumbuka. Tuliambiwaga kuna bata ni chuo cha Kata ni rahisi kufahulu udom tumefika mwaka Jana adi asaiv sina ham kusoma kote kule na bado nimeponea tundu la sindano[emoji36] [emoji36]
Ndiyo nidhamu ya elimu hiyo, kukomaa tu ndiyo nguzo muhimu.Ooooh udom msuli wake skuhizi sio wa kitoto ukizingua unasepa peupe 0.1 mtu unadisco unajiona mtu ana GPA 1.7 out yan 0.1 kakosa afanye sup na hakuna anaemfikiria coz work unasain had NNE yaan 4 na kwenye SR unaikuta hio hio madogo msiskilize watu udom inakuja kwa kasi sana shule ya pale ni ngumu mno km mvivu wa kusoma hata sisi nakumbuka. Tuliambiwaga kuna bata ni chuo cha Kata ni rahisi kufahulu udom tumefika mwaka Jana adi asaiv sina ham kusoma kote kule na bado nimeponea tundu la sindano[emoji36] [emoji36]
Swali kuntu.hivi watu wengi kufeli ndo ubora wa chuo??
Wewe ukiona chuo kinadahili maelfu ujue ni chuo cha kata hicho!!!!EDUCATION mwaka juz mwaka wa kwanza walidisco 600
Coleage zote palilamba(disco) 3000
Pale sio pamchezo mchezo,
Lecture akifaulisha sana anaitwa kuhojiwa.Ukifelisha unaitwa pia
Sifa za good lecture ujue kukamata
ndugu mbona unashutumu kihsmba? uwezo wa UDOM ni kudahili wanafunzie elfu 40, nafkiri ndio kikubwa kwa kusini mwam jangwa la Sahara, sasa kuwa na uwezo mkubwa ni kashafa? ww unaona bora chuo ulihcosoma ww kisa ni kidogo kuliko UDOM? hebu tupende vitu vyetu, UDOM ni chuo chetu watanzania. lets be proud of itWewe ukiona chuo kinadahili maelfu ujue ni chuo cha kata hicho!!!!
Total kabisa1.7 ni cgpa au ni gpa ya semister moja?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe ukiona chuo kinadahili maelfu ujue ni chuo cha kata hicho!!!!
Acha zarauchuo kinachukua Vilaza tupu.what do you expect?
ushaona wapi mtu mwenye one yake kali akawa na dreams za kusoma udom?Acha zarau
Wapo sana na kingine kuna kozi zinapatikana udom tu sasa unataka mtu akasome wapiushaona wapi mtu mwenye one yake kali akawa na dreams za kusoma udom?
Kwahiyo mtu ambaye hajaoata one kali ndo kilaza??ushaona wapi mtu mwenye one yake kali akawa na dreams za kusoma udom?