UDOM SR ishatema, angalia ulichopanda

Sasa ndio hapo ulifaulu kwenda chuo ukitokea kwenu shamba umefika chuo ukapata mkopo ukanunua smartphone ukaanza kuishi kiinstagram matokeo yanakuja umedisco unarudi kijijini kwenu na story tu za mjini!
 
EDUCATION mwaka juz mwaka wa kwanza walidisco 600

Coleage zote palilamba(disco) 3000

Pale sio pamchezo mchezo,

Lecture akifaulisha sana anaitwa kuhojiwa.Ukifelisha unaitwa pia

Sifa za good lecture ujue kukamata
 
Inawezekana wakawa sio wengi ukilinganisha na idadi ya wanachuo wote
 
Ooooh udom msuli wake skuhizi sio wa kitoto ukizingua unasepa peupe 0.1 mtu unadisco unajiona mtu ana GPA 1.7 out yan 0.1 kakosa afanye sup na hakuna anaemfikiria coz work unasain had NNE yaan 4 na kwenye SR unaikuta hio hio madogo msiskilize watu udom inakuja kwa kasi sana shule ya pale ni ngumu mno km mvivu wa kusoma hata sisi nakumbuka. Tuliambiwaga kuna bata ni chuo cha Kata ni rahisi kufahulu udom tumefika mwaka Jana adi asaiv sina ham kusoma kote kule na bado nimeponea tundu la sindano
 
EDUCATION mwaka juz mwaka wa kwanza walidisco 600

Coleage zote palilamba(disco) 3000

Pale sio pamchezo mchezo,

Lecture akifaulisha sana anaitwa kuhojiwa.Ukifelisha unaitwa pia

Sifa za good lecture ujue kukamata
Lecturer
 
Ooooh udom msuli wake skuhizi sio wa kitoto ukizingua unasepa peupe 0.1 mtu unadisco unajiona mtu ana GPA 1.7 out yan 0.1 kakosa afanye sup na hakuna anaemfikiria coz work unasain had NNE yaan 4 na kwenye SR unaikuta hio hio madogo msiskilize watu udom inakuja kwa kasi sana shule ya pale ni ngumu mno km mvivu wa kusoma hata sisi nakumbuka. Tuliambiwaga kuna bata ni chuo cha Kata ni rahisi kufahulu udom tumefika mwaka Jana adi asaiv sina ham kusoma kote kule na bado nimeponea tundu la sindano
1.7 ni cgpa au ni gpa ya semister moja?
 
Back
Top Bottom