UDOM SR ishatema, angalia ulichopanda

KWELI UDOM HATARI.HATA JAMAA YANGU ANAFUNDISHA PALE SOCIOLOGY ANASEMA DISCO ZIPO 63 FIRST YEAR
kuwa na disco 63 first year sio fact ya kufanya chuo kuwa hatari (siidjarau UDOM though, naiheshimu na naipenda) kuna vyuo first year wana disco 200 huko, so ni kuwapa pole tu hao walio disco, wajipange wa apply chuo tena mapema
 
Ooooh udom msuli wake skuhizi sio wa kitoto ukizingua unasepa peupe 0.1 mtu unadisco unajiona mtu ana GPA 1.7 out yan 0.1 kakosa afanye sup na hakuna anaemfikiria coz work unasain had NNE yaan 4 na kwenye SR unaikuta hio hio madogo msiskilize watu udom inakuja kwa kasi sana shule ya pale ni ngumu mno km mvivu wa kusoma hata sisi nakumbuka. Tuliambiwaga kuna bata ni chuo cha Kata ni rahisi kufahulu udom tumefika mwaka Jana adi asaiv sina ham kusoma kote kule na bado nimeponea tundu la sindano
kuna Vyuo mtu ana GPA ya 2.2 na ana disco
 
Ndiyo nidhamu ya elimu hiyo, kukomaa tu ndiyo nguzo muhimu.
 
EDUCATION mwaka juz mwaka wa kwanza walidisco 600

Coleage zote palilamba(disco) 3000

Pale sio pamchezo mchezo,

Lecture akifaulisha sana anaitwa kuhojiwa.Ukifelisha unaitwa pia

Sifa za good lecture ujue kukamata
Wewe ukiona chuo kinadahili maelfu ujue ni chuo cha kata hicho!!!!
 
Wewe ukiona chuo kinadahili maelfu ujue ni chuo cha kata hicho!!!!
ndugu mbona unashutumu kihsmba? uwezo wa UDOM ni kudahili wanafunzie elfu 40, nafkiri ndio kikubwa kwa kusini mwam jangwa la Sahara, sasa kuwa na uwezo mkubwa ni kashafa? ww unaona bora chuo ulihcosoma ww kisa ni kidogo kuliko UDOM? hebu tupende vitu vyetu, UDOM ni chuo chetu watanzania. lets be proud of it
 
UDOM NI CHUO CHA WATANZANIA.JAPO KUFAULU AU KUFELI KUNA AKISI UBORA WA TAASISI.HEKO WATU WA UDOM CHUO CHA WATZ.
 
First year walimwagwa wengi ikafikia mahali wanakaa chini nafasi zimeja,school of social science jamaa wana roho ngumu,kuna siku tulizenguana nao wakatupiga mkwara "tumeondoa wanafunzi wa diploma ya sayansi chuo akijateteleka sembuse nyie,tutawafukuza wote ndani ya sekunde 30" kilichofuata haikua habari nzuri.
 
Back
Top Bottom