Udom siwaelewi kabisa

Udom siwaelewi kabisa

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
225
Reaction score
215
Jaman Samahani kwa walioomba chuo cha udom awamu ya tatu je kuna kulipia au ni bure mana ad namaliza application na kusubmit hawajanipa control number wakati usipolipia huwez ingia kwenye kipengele kinachofuata msaada kwa anaeelewa juu ya hili
Screenshot_20190912-222639~2.jpeg
 
we nae acha kuyumba, unataka control no. za nini na ulipie nini hasa.

apo maombi yashaenda kama uliwai kulipia hilipii tena, ungekua hujalipa ata hilo ombi lisingeenda
 
sasa kama umeona system inaelekeza ivo its means amna kulipa unacho shanga ni nini??? utapewa control# kama ndo unataka!!
 
Jaman Samahani kwa walioomba chuo cha udom awamu ya tatu je kuna kulipia au ni bure mana ad namaliza application na kusubmit hawajanipa control number wakati usipolipia huwez ingia kwenye kipengele kinachofuata msaada kwa anaeelewa juu ya hiliView attachment 1205908
Ni kweli lakini hyo changamoto haijaanza tu kwenye round ya 3 bali toka system yao ilipoanza kusumbua kwenye round ya pili na kutoa maelekezo ya kuwa machine yao inasuasua kwenye kutoa control# kwa wakati ndipo ikatokea hyo system mpya ya kupita tu bila kulipia. Najua unahofu ya kwamba "kama sitolipia majibu yangu hayawezi kurudi" La hasha nduguyngu nkutoe khofu tu,kwa kuwa umekwisha SUBMIT na wamesema wameshayapokea yatafanyiwa kazi,nimewafanyia wengi na wamekwishachaguliwa baadhi yao na wengine wamekosa pia. Kuwa na Amani.
 
Bora yako imekubali mm ilinigomea ikaweka kivuli maana nilifunguaga account round ya kwanza alafu sikuomba now inataka nilipie alafu mfumo wa contral number umekufa
 
Back
Top Bottom