UDOM second round

Jana usiku wametoa na admission letter , medical forms , fee structure na form nyinginezo labda wanatayarisha vitu vyenu wa upload pamoja.

Chuo gani hicho kimetoa admission letter.
 
sijjapata na sijajibiwa mkuu katika kutapatapa ikabidi niwapigie sasa cjw majibu hayo ni yakufariji mgonjwa au yana ukweli ndani yake.nimejibiwa hivo
Wenda ikawa ivo kaka coz ata mm sijajibiwa kaka alafu kwny pc angu kuna akaunti km 5 za watu niliwaombea udom lkn wote wamekosa ...ngoja sisi tusubir
 
Wenda ikawa ivo kaka coz ata mm sijajibiwa kaka alafu kwny pc angu kuna akaunti km 5 za watu niliwaombea udom lkn wote wamekosa ...ngoja sisi tusubir
na ukifanya utafiti kila aliyejibiwa amekosa sijasikia aliyejibiwa raund ya 2 kuwa amepata. tujipe moyo yaani hapa hata ucku nikiamka nachukua PC naangalia bado sijajibiwa ila wameniambia kesho au kesho kutwa lazima watoe...la msingi tuvute subira hakuna namna mkuu.
 
Mungu atupiganie tuweze kuchaguliwa maana chakula hakiend kbx
 
Hadi sahv bdo sijapata majibu udom vp nikifungua account mpya nikatuma tena hii 3rd raund?
haiwezekani maana ulishajisajili tayari, wewe sikilizia siku mbili tatu hizi maana 3rd round mwisho ni 1/10/2018 au unaweza kuwapigia simu kuwaelezea shida yako
 
haiwezekani maana ulishajisajili tayari, wewe sikilizia siku mbili tatu hizi maana 3rd round mwisho ni 1/10/2018 au unaweza kuwapigia simu kuwaelezea shida yako
mi niliwapigia wakasema kwa wale ambao hatujajibiwa selection zetu bado zinaendelea afu nikapiga tena namb ingine akanijibu bado wapo wana update account ni nying mpaka kesho watakua washamilza ndio itaonyesha kama umepata au umekosa..........yaan kiufupi hawaelewekiiiiii
 
Daaaaaaa wanatuweka dilema xn hawa udom
 
mfumo wa CAS iliokua inatumiwa na tcu 2016 kuludi nyumaa ule ndio ulikua mfumo boraa sanaaa
 
Bora Udom wameanza kuelekea kumaliza hili ya sec round lakini chuo cha Mzumbe kinawaacha Wanafunzi dilema
 
Kuna member mmoja alisema kuwa ukiona account yako haijajibiwa Basi kuna posibilty kubw ya kuwa umechaguliwa hayo ni yakwel kbx mm nimechaguliwa nw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…