ingia TCU waliweka izo information za transfer na deadline lakin kwa mi navyojua ni lazima icho chuo unachotaka kuhamia kiwe kina nafasii yaan kiufipii hii process inahitajii sanaa mguu kwa mguu ka upo serious na si kupiga simuMmmmh jaman...... Hvi unaweza kuomba uhamisho wa chuo hata kabla ya kuanza kusoma? Na wanaweza kunitransfer direct kwenye chuo kingine?
Inawezekana ukiwai na nafasi zikiwepo ,Mmmmh jaman...... Hvi unaweza kuomba uhamisho wa chuo hata kabla ya kuanza kusoma? Na wanaweza kunitransfer direct kwenye chuo kingine?
ok poami wamenipigia simu kuniuliza kama ntaenda baada kuthibitisha ndio akaniambia itatumwa code leo au kesho maana kuna watu 800 wa multiple wanatakiwa kuwasiliana nao ndio waaze kuwatumia izo code
Unaishi dunia gani mbona yametoka muda mlefu.Vipi wakuu bado tu UDOM hawajatoa majina ya second round ya diploma na certificate? Tafadhari mwenye kuyapata mapema anisaidie
wametoa muda tuVipi wakuu bado tu UDOM hawajatoa majina ya second round ya diploma na certificate? Tafadhari mwenye kuyapata mapema anisaidie
kuna aliyefanikiwa kuconfirm UDOM
Tunamaanisha roundi ya piliRound ipi ?
Me pia natk nicomfim udom ila izo code ht hatutumiwi jmnkuna aliyefanikiwa kuconfirm UDOM
wasiliana nao ndio solution pekeeMe pia natk nicomfim udom ila izo code ht hatutumiwi jmn
Changamka deadline kukomfirm ni leo.Me pia natk nicomfim udom ila izo code ht hatutumiwi jmn
Changamka deadline kukomfirm ni leo.
Nisaidie hiyo namba ya UDOM
ingia kweny online application system yao wameziwekaa pale nying sanaaaMkuu ulipata hiyo namba? Naomba unipatie na mimi
ingia kweny online application system yao wameziwekaa pale nying sanaaa
jaribu zote me ua wanapokea nishawasumbua sana mpaka wamenikalili labda iwe bize na ikiwa bize unapiga inginee zipo nyingi kuna mmoja atapokea tuNgoja nijaribu, tatizo huwa wanazingua, hawapokei