LWAKAPISI
Member
- Mar 31, 2011
- 46
- 4
Kama ni udini kuitafuna nchi basi serikali ifike haraka UDOM na imalize hili kabla mambo hayajaharibika.Katika uchaguzi ulofanyika chuoni hapa wa serikali ya wanafunzi,tume ya uchaguzi ilipitisha wagombea kwa kupendelea waislam, kila idara.Baada ya hapo hali iliendelea kuchafuka maana siku ya Alhamis usiku wanaharakati chuoni hapa walinasa waraka uliokuwa umeandikwa na waislam wakihimizana kuwa siku ya jana wapge kura wote ili wakiongoze chuo chao(ulisema waraka).Baada ya waraka huo kuonekana huku chuo cha elimu zilianza vurumahi na zikapelekea mwanafunzi mmoja mkiristo kupigwa hadi kushonwa nyuzi nane kichwani.Yote tisa,kumi ilikuwa jana siku siku ya uchaguzi maana kura zimepgwa kidini bila kujali uwezo wa watu maana watu walienda kuchagua kwa kuangalia majina tu,na wakristo licha ya kuteuliwa wachache wote wamepita.Lakini baada ya matokeo kutangazwa wakristo walishangilia kwa pambio za dini hata matokeo yalipokuwa yanatangazwa,mkiristo akitangazwa waliitikia "BWANA ASIFIWE" na mwislam walisema "takbir huyo ni wako"wakimwambia bwana ASALI ISAH ambaye ni mkurugenzi wa tume
Ngazi ya shirikisho yaani rais wa chuo kizima walikuwa wagombea wawili baada ya mmoja "kujiDovutwa"(kujitoa)mida ya mwisho,wagombea hao walikuwa ni :
1.ABUBAKAR BASHE mdogo wake na H.BASHE ila wana udom kama walivyomwambia kuwa yeye ni Rostam group wamempiga chini tena kwa kishindo,pale maskini uccm umemponza maana Udom ya leo na CCM ni maadui
2.GABRIEL DEBORA dada hasiye na jina kabisa ila ndiye kachaguliwa kwa kishindo