UDOM saga: Prof Kikula ni mchakachuaji wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM saga: Prof Kikula ni mchakachuaji wa habari

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mawenzi, Jan 14, 2011.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  WanaUDOMASA msishangae Prof Kikula kutoa propaganda kwenye vyombo vya habari. Hiyo ndiyo fani yake nyingine kwani yeye ni mfanyakazi wa TISS. Mdogo wake naye yuko TISS. Anaitwa Magid Kikula na ndye aliyeshiriki kwa karibu sana kuchakachua matokeo ya uchaguzi uliopita.
   
 2. I

  Ilonza Senior Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndg yangu mdogo wake Kikula kuwa mchakachuaji,siyo kigezo chakubaini uovu wake.siyo lazima wote wawe na tabia zinazo fanana.Usiwe mfinyu wa mawazo.Reason correctly become critical thinker.
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  magamba
   
 4. M

  MPG JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika kweli hili ni gamba jipya.
   
Loading...