GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,640
- 493
Mashairika ya haki za binadamu, taasisi za kidini, wanasheria na wansiasa pasipo kujali itikadi ya vyama vyao kwa kauli moja waungane na wazazi wa wanafunzi kupinga nguvu kubwa iliyotumika kutuliza wanafunzi wanaodai haki zao tena kwa utaratibu
Mimi kama mzazi wa hawa watoto nilitamni nguvu kama hii itumike kwa wale wanaosababisha wanafunzi wakose ada kwanini tunatumia nguvu ndogo kwenye mambo makubwa kama #escrow , #richmond , #epa. Hawa huwa wanachunguzwa hata kwa miaka mitano lakini wanafunzi na madai yao huwa viongozi hamtaki hata kutafakari juu ya shida zao
KWANINI KUTUMIA NGUVU KUBWA KWENYE MAMBO MADOGO NA KUTUMIA NGUVU NDOGO KWENYE MAMBO MAKUBWA KAMA ESCROW EPA RICHMOND NA MEREMETA