UDOM Pitia hapa, Neema Hizi

UDOM Pitia hapa, Neema Hizi

wazirib28

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
460
Reaction score
275
Chuo Kikuu cha Dodoma kimeendelea kuonesha jinsi kinavyojari wenye kipato cha chini. Kuna kitu kipya kimeleak. Kuanzia mwaka huu kama una mkopo chini ya 100% unaweza kufanya usajili kabla hujalipa ada kwa mkataba maalumu wa kukatwa boom. Njoo usome kijana... usisingizie kukosa ada.
Sample ya mkataba huo hii hapa
1477209304147.jpg
 
mbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Hujaambiwa ufanye comparison,,,,,, kama kukopi na kupest kipi cha ajabu,,,kwani UDSM peponi!!!!!!!
Kila kitu tuwe tunaulizia UDSM kipo,,,,au kiliwahi kufanyika,,,,,,Acha mpango,,,Sema hako Kaplan kanasaidia watu duni,,,Hongereni UDOM kwa plan hiyo saidizi.
 
mbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Mm pia nimesoma UDSM japo ni tawini lkn najua wanafanya mambo sawa. Mbona tulimuomba sana Mukandala aligoma kabisa kufanya hio kitu? Anyway nisikubishie sana labda ipo main campus tu.
 
..kwa expenses za UDOM watakata Boom lote directly
Acha umbea bwana expenses gani za UDOM. Za ada laki 8 na direct cost isiyozidi laki 3. Unajua kuna majitu yanaboa sana Tanzania hii kukurupuka tu kila kitu kujifanya unajua. Eti watakata boom lote.
 
Acha umbea bwana expenses gani za UDOM. Za ada laki 8 na direct cost isiyozidi laki 3. Unajua kuna majitu yanaboa sana Tanzania hii kukurupuka tu kila kitu kujifanya unajua. Eti watakata boom lote.
..mkuu tatizo watanzania wengi hamfikirii and You lack the sense of HUMUOR,Ivii kwa nlivocheka hapo Juu hujaelewa kitu????finally tunakuJa kuona kuwa wewe ndo unakurupuka from answering the Qns maana hukunielewa alaf hio ada Ya laki 8 ni Ya unachosoma wewe
 
Hujaambiwa ufanye comparison,,,,,, kama kukopi na kupest kipi cha ajabu,,,kwani UDSM peponi!!!!!!!
Kila kitu tuwe tunaulizia UDSM kipo,,,,au kiliwahi kufanyika,,,,,,Acha mpango,,,Sema hako Kaplan kanasaidia watu duni,,,Hongereni UDOM kwa plan hiyo saidizi.

Mie sijafanya comparison ..nimesema hiyo idea wameikopi na kupest kutoka Udsm ......acha kuninukuu vibaya ..bythe way unajistukia na udom yako ..punguza presha utakatwa
 
..Hahaha!!ndugu sipo upande wowote na nyinyi ndio kielelezo Ya kuwa kuna competition between this two universities ILA binafsi all i said was Just Humuor maana naJua uhalisia uko vipi kwaio sitakulaumu kwa kutonielewa inaewezekana ni mentality ya chuo inakuadhiri

Achana nae ..ananitukana lakn nimesema iyo idea ipo udsm ..sijasema udom ni chuo kibaya ....Mungu amsameeeee
 
Alafu udom si lzma ada yote ilipwe ukijikaza tu ukalipa nusu ada na direct costs ngoma inogile
 
Back
Top Bottom