UDOM ni chuo kizuri kwa kusoma Cybersecurity?

MRnyotta

Member
Apr 11, 2019
18
16
Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
 
Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
Kama website yao ilidukuliwa unategemea nn?¿?? Ila nenda kasome upate cheti
 
Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
Kama waliweza kufanya analysis ya gwajima I think wako vizuri sana
 
Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
yeah Pale UDOM CIVE wapo fresh asee nenda ukapige bachelor yako bro
ama kama vipi nenda unique academy apo dar na wenyewe wapo fresh sana asee hadi scholarship za EC COUNCIL CEH,ECSA,LPT, CNDA etc
kapige unique academy bro.
Capture.PNG

Capture.PNG
 
Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
All in all what matters ni uwezo wa mtu, kama unapenda hiyo kozi kasome maana chuo hakimfanyi mtu awe vizuri, ni juhudi zako tu ndo zitakufanya uwe vizuri
 
Kuna kazi ya Cyber security kweli bongo? Nadhani ukisoma CS unaweza ukapata nafasi nyingi zaidi hata kuingia Developer -> Security ni rahisi kuliko Security-> Developer
 
Achana na vyuo vya kata, utapoteza pesa yako.Degree ya pale ni sawa na diploma ya DIT
Nimesoma UDOM miaka kadhaa imepita, nilivyorudi pale kucheck mambo flani nilkuta mambo yashakua tofauti kabisa na hapo awali back in days/year 2015 huko mambo yalikua mabaya kiasi CIVE na CNMS watu walikua wanasoma kwenye mazingira magumu... Acha kuidharau UDOM kwa sasa iko na materials ya kutosha ni uzembe wa wanachuo tu wenyewe kutokutumia resources zilizopo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom