Hali katika uchaguzi uliofanyika mwezi wa 5 ,2011 ulitawaliwa na ubaguzi mkubwa wa kidini. Hali hii ilitokana na kupitishwa majina mengi ya waumini wa dini ya Kiislamu kuliko ya wakristu katika kinyang'anyiro cha ngazi mbalimbali chuoni hapa. Hali iliamsha na kuibua hisia za chuki kwa wapiga kura na kuamua kupiga kura kwa kuangalia na kuzingatia udini bila kujali uwezo binafsi wa mgombea. Je tunalipeleka wapi TAIFA LETU. Tafakari