yaani mpaka sasa kuna majina ambayo hayajawekwa kwenye tovuti yao na ndio maana wanafunzi kibao ambao waliochaguliwa UDOM hawawezi kulog in, hivi ict yao ndio tuseme haipo active kwa wanafunzi hawa waliochaguliwa na tcu lkn mwenye tovuti yao haipo inawezekana na mikopo wasipate hawa wanafunzi manake kama hawa wanazingua je huko heslb.com si ndio hatariiiii ... yaani mwaka huu hatariii tupu... du ndugu zangu ninyi mnaonaje?