Stori za vijiweni hizi๐๐...Kwa kukusaidia tu UDOM ndio chuo pekee Afrika Mashariki na Kati chenye uhakika wa asilimia 100 kwa mwanafunzi kupata bweni plus majengo ya madarasa(mpaka mengine yamezidi) .
UDOM wana muundo tofauti kidogo na vyuo vikuu vingine ...wao kila college inajitegemea kwa hosteli na lecture rooms zao na kwa zile kozi wanazo-share lecture rooms umbali wake ni wa kutembea tu kwa mguu kama ilivyo apa UDSM ila kama ilivyo kwa sisi Watanzania ma-gap ya uchumi hayaishi kwahiyo unaweza kuta sehemu ya kutembea mita 200 tu mwenzako anachukua boda au bajaji kulingana na shekeli zake๐๐