The Rain Maker
New Member
- Aug 4, 2011
- 2
- 0
Tatizo la Prof ni kivuli chake mwenyewe! Anasahau kuwa tunajua ni CCM ndo waliompeleka pale kusimamia maslahi yao lkn ss wamezidiwa nguvu anaanza kupayuka! Akatishe wtt wake nyumbani sio ss watu wazima tunaotambua haki zetu na mstakabali wa taifa letu...time "shall" tell!