UDOM kuna tatizo! Ndani ya mwaka mmoja wanafunzi 890 watimuliwa chuo, JK walijua hili?

ha ha ha ah aha , udom ni chuo cha kiislamu wanaolalamika wote ni wakristo jamani acheni kufanyakazi na hayo majini mtaumia bure labda kama mmesimama kiimani, vinginevyo ni kuumia.
wanaojituma kazi ndio wanaopigwa vita, nani asiyejua jinsi bi kidude anavyowapiga vita watu wanaoweza kazi??? kusaja ni mtumishi bora kuliko wote kwani mlacha hujui hilo? huyo stc ana kazi gani hapo ya maana kulipwa milioni mbili na zaidi, kuandaa mkutano wa council? Mnaua chuo kwa ujinga wenu, hapo mnasomesha watu kisha watakimbia? Idris fungua macho na uangalie haya mambo sio unakaliwa na mlacha kama goigoi. Mama sawasawa hajui kazi na waliowachapakazi anawachukia anakubali kuwa na mwanana asiyejua kitu. mwalimu wa shule ya msingi tangu lini akawa hr bora? stepping stone stepping stone. Mmemtoa lipili ambaye alikuwa anasaidia information mbalimbali mnamlipa mshahara wa bure hana kazi yoyote, je ameajiriwa kama mlinzi huko mkalama? maria ntui threat kwa stc mmemuondoa udom inafilisika na kufa.
 
Udom ni chuo safi kilichotokana na serikali safi na kinachoongozwa na watu safi na makini. Kama wewe unaona UDOM sio pazuri ondoka waachie wenye njaa zao wakae. Watu mnaomba kazi Udom mkiwa mikono nyuma mkipewa mnaanza kelele. Kazi ni moja tu. Kuwaondoa wote wenye kelele ambao hata kujenga just CHOO hawawezi kisha wanabeza vya wenzao. Tena mwisho leo nisisikie kelele tutawafuata hukohuko mliko. Mnateswa na njaa zenu na bado hadi mkome. Mlacha ni presidentail appointee hajaandika barua yenye "wako mtiifu" kwa JK kuomba kazi. Mnakaa mnabeza Kiswahili mbona bwana mganga anakuwa waziri wa ulinzi? Acheni wivu nyie kudadadeki. Niwachane nisiwachaneeeeeeeeeeeeeeee....................wachaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wewe una akili za maiti.Unaropoka tu kwa mambo na vitu usivyovijua!.UDOM PAMECHAFUKA PANANUKA NA KAMA WEWE NI MCHUMIA TUMBO HAPO KWA KUWABEZA WANAFUNZ NA WAEANYAKAZI WANAONYANYASWA UDOM BASI WEWE NI KILAZA HATA KAMA WEWE NI STAFF WA UDOM NA TENA HUFAI KUITWA BINA DAMU BALI NI SHETANI MKUBWA.
 
Kaaaaaaaaaaazi kweli kweli, UDOM hata product zao si nzuri kwa kila fani, kuna waajiri hawataki hata kuwaona, na hio yote inachngiwa na utawala mbovu wa chuo.
 
Matatizo ya UDOM yanayoelezwa hapa ya kuwafukuza wanafunzi na walimu hovyo hovyo tu mimi nayaona kama dalili za nje tu za tatizo la msingi lililopo UDOM na vyuo vyetu vyote vya ndani. Yapo mambo mengi tu ambayo kama mdau wa elimu nikiambiwa yanatokea pale UDOM nawaza hivi sisi kama taifa tunazalisha wasomi wa namna gani? Hivi mnaweza kuamini pale UDOM, chuo kilichoanza miaka mitano hivi iliyopita tayari wanatoa PhD? Na kama vile haitoshi hawatoi PhD katika social sciences tu, ambazo unaweza ukasema kwamba haihitaji investment kubwa sana zaidi ya literature za kutosha na wahadhiri waandamizi katika hizo fani, wanatoa hata PhD kwenye natural sciences (kwenye masomo kama biology, chemistry na biochemistry) fani zinazohitaji si tu wahadhiri waliobobea bali hata maabara za viwango vikubwa sana.

Hata UDSM chuo kikongwe vile bado wanafunzi wanaosoma natural sciences PhD zao zinasuasua sana kumaliza kutokana na tatizo hilo hilo, sembuse UDOM? Siasa zitatumaliza sie wabongo. Hivi mbona tunapenda sifa kuliko ubora wa kweli kwenye elimu?

Napendekeza:
1. Ifike mwisho (of course ili lazima liwe kwenye katiba mpya) uongozi wa vyuo vikuu vya umma kuteuliwa na wanasiasa: Shabani Mlacha hakustahili hata kuwa head of department ya Kiswahili sasa inakuwaje anakuwa bosi wa juu kabisa katika chuo kikuu nchini? Mkandala naye vivyo hivyo. Viongozi wa vyuo lazima wapendekezwe na board za vyuo husika kutokana na CV zao na wateuliwe baada ya kushindanishwa.
2. Ifike wakati waadhiri wa vyuo vikuu wastahili nafasi zao baada ya kupikwa vya kutosha. Na kuajiriwa isiwe kama hisani tu ya kufahamiana. Pale UDOM kuna mchezo huo sana maana kuna wahadhiri wengi waliajiriwa pale kwa sababu ya kufahamiana na Gharib Bilal (VC wa chuo wakati huo) au na kiongozi mwingine wa juu pale. Madhara ya kuajiriwa kwa kufahamiana ni hayo, unaweza kufukuzwa tu hovyo hovyo maana nafasi yako uliipata, si kwa sababu ya CV yako, bali hisani.
3. Wanafunzi haki zao zitapuuzwa kama hawatakuwa na umoja. Wale wanafunzi 800 na ushee waliofukuzwa UDOM wangesharudi kama kunji la uhakika la kushinikiza usimamizi wa haki za wanafunzi waliofukuzwa lingeratibiwa. Si kwa fujo kuvunja vioo vya magari ya watu barabarani au kuandamana maana FFU kazi yao kubwa na kuchinja kuua na kuharibu, bali kimya kimya: mkiwa ndani mabwenini, no student's rights, no classroom sessions. Ndio watawapa summary dismissal, lakini mnakuwa dismissed wote kwa umoja ili mrudishwe chuoni wote kwa pamoja without leaving anyone home. Na please wasiwatishe kwa vimikopo vya loanboard, sisi kaka zenu tunakatwa hela nyingi sana (mimi binafsi nakatwa zaidi ya mshahara wa kima cha chini cha mwalimu wa diploma kila mwezi) kugharimia masomo yenu. Loan ni haki yenu si hisani. Pamoja kama taifa.

Well noted
 
Mie nimeenda pale mashangaa chakula 4,500/= kwa hela gani na wanafunzi wapo kimya mnatarajia nn sie kwetu twala kwa buku tu.
Usitake kudanganya watu humu, ingekuwa chakula 4500 kuna mwanafunzi angesoma pale?
 
kuna albino mmoja nae amekua tatizo udom, anaitwa aziza.... kila madaraka anayo yy. cjawahi ona ustaarabu wa kugongea wanafunzi usiku wamelala eti unafanya inspection. udom ts not da place to be ni kero tupu
 
udom ni chuo safi kilichotokana na serikali safi na kinachoongozwa na watu safi na makini. Kama wewe unaona udom sio pazuri ondoka waachie wenye njaa zao wakae. Watu mnaomba kazi udom mkiwa mikono nyuma mkipewa mnaanza kelele. Kazi ni moja tu. Kuwaondoa wote wenye kelele ambao hata kujenga just choo hawawezi kisha wanabeza vya wenzao. Tena mwisho leo nisisikie kelele tutawafuata hukohuko mliko. mnateswa na njaa zenu na bado hadi mkome. mlacha ni presidentail appointee hajaandika barua yenye "wako mtiifu" kwa jk kuomba kazi. Mnakaa mnabeza kiswahili mbona bwana mganga anakuwa waziri wa ulinzi? Acheni wivu nyie kudadadeki. niwachane nisiwachaneeeeeeeeeeeeeeee....................wachaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


kwenye zambarau hapo haya maneno kama siyo ya shabaani mlacha mwenyewe sijui,hapo chini kwenye red ni livingstone lusinde huyu!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom