Udom kama Barcelona

DAH ITAKUJA NYINGINE MZUMBE KAMA REAL MADRID,IFM KAMA MANCHESTERCITY,SAUT KAMA LIVERPOOL, TUMAINI KAMA TOTe, nHAM, TEKU KAMA BAYERNMUNICH, dit KAMA BAYERNLIVERKUSEN,

SUA KAMA SWANSEA( tamka SWANSI)
 
Taifa lilitangaziwa kupitia TBC kuwa kwa sasa UDOM ndio chuo kinachoongoza kwa kutoa malaya wanaojiuza pale Dodoma kwa hadi shilingi Elfu moja.
Vipi tena?
 

wewe utakua upeo wako wa kufikiri ni mdogo, competent law lecturers ni haba kwa upatikanaji wao ni mdogo! cuo kama chuo lazima kisomeshe lecturers wake i think ndicho kinachofanyika even to law, mbali na upungufu ambao unausema chuo kimeendelea kutumia part time lecturers kutoka other public universities! na kumbuka kwamba hakuna chuo ambacho kina lecturers wa kutosha hata vyuo vikongwe e.g udsm, mzumbe n.k, they stil need part timers!
 
Na mie wa YALE UNIVERSITY nisemeje jamani?
 
yanawasaidia nini??
 

someni vijana acheni ujinga hayo umeyakuta na utayaacha after chuo sio magorofa wala magari it is content tafuta cheti usepe wew ndo tatizo la watoto wa kata hilo
 

Mbona hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya utetezi wa kitoto?
Hapo kwenye red unamaanisha nini?
 
Wewe ndio mpuuzi kama kimeshindwa chuo kilichoanzishwa sawa na uhuru kwanini mapovu yakutoke kwa chuo kichanga? Wewe umeisaidia nini nchi na chuo chako ambacho hakina majengo bora? Ila kina ubora wa elimu? Zaidi ya kuiweka ichi hapa ilipo?

ukikua utaacha
 
Udsm ki2 gan mbona vilaza wengi wako huko na wengine tumesoma nao .udsm imebak jina 2 hakuna lolote.

sasa UDSM inahusiana nini na ushuzi wa mleta mada?
Watu mliofeli form six ndiyo kauli zenu hizo, jifunze kukubaliana na ukweli...ukiwa kilaza unabaki kuwa hivyo na huna namna ya kujinasua kwa kujaribu kuwashushusha wengine
 
Tatizo la kukulia vijiji,ukiona magorofa unaona raha!soma sana kijana akuna m2 ataulizia majengo ya chuo chako.
 
acha utani wewe soma uzuri wa chuo si majengo bail ni performance ok?
 

majengo safi + wanafunzi wenye div3 + uhaba wa wakufunzi = ????????????
 
Vijana tunapofikia sasa kusifia vyuo, mtoa mada angeongelea upande wa ELIMU ingependeza sana. Kwa sasa safari ni ndefu kuongelea upande wa elimu maana bado kufikia vyuo vingine, ningetamani sana kuona unaleta hoja ni jinsi gani ya kuboresha elimu na kuangalia wingi wa wanafunzi kwa class moja. Mfano education idadi gani ya wanafunzi wanaingia kwenye somo moja zaidi ya 3000 je mwl atapata muda wa kupitia na kusahihisha kwa muda gani? Asante kwa kutoa mada ili uone ubaya wa chuo.
 
majengo safi + wanafunzi wenye div3 + uhaba wa wakufunzi = ????????????

hivi kuna chuo hapa TZ ambacho hakina wanafunzi wenye division 3? Nitajie kimoja tu kama mfano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…