Kwani Barcelona pia kuna machangudoa wasomi wanajiuza mpaka kwa shilingi Elfu mmoja?

Vyuo vya kata bhana!
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u

Pamoja na hayo kuna uhusiano gani kati ya uzuri wa chuo na ubora wa elimu.UNAPOSEMA UBORA WA MAJENGO UHUSIANISHA NA UBORA WA ELIMU.
MBONA KWENYE ENTERVIEW ZA KUOMBA KAZI HAMFUI DAFU??????????????
Kwamfano Enterview ya wapi?
Mkuu biashara ni uwekezaji na ubunifu.Anae tongozwa na anae tongoza utasikia natoka udom, kila kizuri hakikosi kasoro. Ukweli ni kwamba nauli ya kutoka hapo udom na kurudi ni Tsh700/-! Iweje mtu akajiuze kwa Tsh 500? Si kila habari ni ya kushabikia.