Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,827
- 8,687
Mkuu unadeal na field gan?Isee wa udom ni vilaza
Mkuu unadeal na field gan?Isee wa udom ni vilaza
Wapo wanaofanya vizuri katika sekta ya ICT / computer science/Engineering na Telecom..
Ndio maana napendelea kuwashauti pia watu kupata knowledge kutoka vyuo vya nje pia ..huwa inasisdia sana , japo kuwa hata vyuo vya hapa wataalamu wanaofanya vizuri wapo
Tatizo theory nyingi kuliko practical. Watu wanafundishwa kukariri kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu. Kuna watu wamemaliza chuo kikuu lakini hawajui hata kufungua email na amesoma couse za introduction to computer . Hii nchi ngumu sana
Huwa nawaambia watu kwamba ipo tofauti kubwa sana kati ya 'proper qualifications' and 'performance'.
Unaweza kuta mtu ana GPA ya above 4 (proper qualifications) lakini kwenye 'performance' akazidiwa na mwenye gentleman's degree (GPA zaa 2 huko). The reason behind ni kwamba kila mtu anajua mwenyewe kwamba anafaulujefauluje; wengine wanatoa penzi kwa wahadhiri, wengine wana-cheat kwenye mitihani n.k.
Lakini pamoja na mambo mengine, ku-arrive kwenye hiyo conclusion kwa kufanya sampling ya graduates 4-5 kwenye ofisi yenu tena possibly wa idara moja haiwezi kutoa majibu sahihi juu ya uwezo wa wanafunzi wote na wa vitizo vyote wanao-graduate UDOM.
Kazi iendelee..
Experience ya kazi haipatikani vyuoni bali katika ajira makazini. Waajiri wengi hutaka watu wenye experience ya miaka kadhaa kwa vile wanajua hilo na wanajaribu kukwepa gharama ya kuwapa experience ya awali.
Lakini lazima wawepo waajiri walio tayari kutoa uzoefu wa mwanzo kwa hawa wahitimu wa vyuo.
Hao wenye experience ya 3yrs,walizaliwa nayo?vyuoni hawafundishi uzoefu!acha ujinga,huwezi kumchukua Dokta aliyesomea upasuaji chuo leo,fresh kabisa ukampereka akafanye operation,lazima afanye mafunzo,internship chini ya wabobezi Ili ajenge uzoefu,kila taaluma ina huo utaratibu,duniani kote,wape nafasi acha mbwembwe,hakuna aliyezaliwa anajua.
Hao vijana sio Bill gate,au Elon musk,hata wewe sio,.
Kwa ufupi cheki mahojiano ya Ngulj wa tasnia ya habari Chalres Hilary alipohojiwa Azam tv.alipoanza kazi radio tz,miaka 40 iliyopita,hakupewa nafasi ya kutangaza,aliwekwa chini ya mafunzo kazini kwa miezi zaidi ya sita!!!
Amewahi kuwa BBC,sasa hv ni mkurugenzi wa mawasiliano wa SMZ!!
UDOM kimeshachukua chaka la wanasiasa kwenda kuokota PhD za mchongo......
Mkuu unadeal na field gan?
Mwaka 2013 nilikutana na vijana waliomaliza nao duh akilini walikuwa weupe sna hata kutumia computer kwa skills ndogo ndogo Ni Kaz kweli wengi wanajifanya wanasiasa
Wew ulisoma chuo gani??Ni kweli udom wajichunguze
Kazi sana unamwelekeza mtu hadi unachoka😂😂 changamoto ni ww kwa hiyo umekutana na mtu mmoja bas udom changamoto wakati Kuna college 5 plus na field tofauti
Yes wanafunzi wa wanaosomea Tehama kwa ujumla inabidi kujiongeza sana.. na kusoma kila siku, imagine unasoma low level langage kama Pascal, unakuja huku mtaani unapewa project za python languageTuliowachukua ni waliosomea Computer science bro ni hatari tupu
Si mna waajiti kama intern au inakuwa vipi? Maana maana mtu anaetoka chuo na ni tofauti na mwenye experience yakeNaelewa hilo bora mtu akapikwe huko then nikimuajiri ni kufanya kazi tu
UDOM kimeshachukua chaka la wanasiasa kwenda kuokota PhD za mchongo......
Kumradhi sana Dr. Kasheku....mzee wa wediwide free open viza.......kumradhi pia Dr. Jaffo mzaramu wa kwanza kupata PhD.....Mtake radhi Dkt. Joseph K. Msukuma & Profesa mbunge wa Kisarawe!