Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
- Thread starter
- #61
nikiwa nafuatilia mitaala ya Vyuo vingi vya ya Ulaya, nilikuta wanafundisha professional course; yaani mtu anafundishwa namna ambavyo atafanyia kazi anachokisoma hivyo akitoka chuoni hata kama hajafanya practical, yupo tayari (professional) kufanya kazialiyoisomea kwa zaidi ya 85%
Hapa kwetu vyuo vingi vinafundisha kwa mfumo wa academic course ina maana anayeweza ku kremu ndiye anafaulu; Practical zenyewe za kuunga unga; Kimsingi academic course hazipo applicable kufanyia kazi bali kujibia mitihani
Yeah