Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,174
- 45,894
Habarini za muda huu wakuu
Siku nne zilizopita nilifungua account ya online application kwa ajili ya bachelor degree pale udom
Wakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na password, nikafanya hivo wakakata pesa yao tsh10000 na wakanitumia sms ya kuonesha pesa imepokelewa wakanipa na namba fulani
Lakini cha ajabu kule mtandaoni nikashindwa kuendelea na hatua za kuomba admission ikabidi niwasiliane nao kwa email yao oas@udom.ac.tz
Lakini mpaka sasa ni siku 4 zimepita sijibiwi na kila nikienda kwenye system mambo ni yale yale tena saivi wananitaka nilipe kwa mpesa na option zingine kama bank
Naombeni msaada wenu