UDOM hali ni tete

UDOM hali ni tete

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Ni wiki moja sasa imepita tangu chuo kifunguliwe lakini bado wanafunzi hawajapata pesa yao ya mkopo has wananafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3.

Wanafunzi wa kitivo cha elimu walimbana rais wao aitwaye Machumu na akatoa jibu kwamba kufikia kesho saa tano wanafunzi wote watakua wameingiziwa hela zao.
maswali:

Kwanini hakuwajulisha wanafunzi mapema kua ifikapo saa tano wataingiziwa hela zao hadi walipo mbana?

Je!Huu si uongo na uzushi?
 
Hako katakuwa kamtego wanataka mgome then wawarudishe ili wawapotezee muda wenu kisha waanze kuwapunguza taratibu..uliza INFO wakujuze.. Ila mi najua HAKI YA MTU HAILIWI KIZEMBE ZEMBE... daini chenu bwana 7500 daily parefu sana.. HUKU SISI NDIYO BAJETI YA NYUMBANI SIKU NZIMA
 
jana nilipata taarifa kuwa wanasainishwa form kuhakiki akaunt zao.
Mwaka wa kwanza wamepew hela kwa akaunt hzo,leo mnazihakiki.
Viongozi wa UDOM wote VILAZA.
 
Management ya udom wana matatizo gani.
 
Jua Kuwa wanaoingiza ela ni Bodi ya Mikopo na sio Raisi wenu kana unavyodhani, inaonekana jibu alilopata kutoka bodi ndilo hilo.
 
Ni wiki moja sasa imepita tangu chuo kifunguliwe lakini bado wanafunzi hawajapata pesa yao ya mkopo has wananafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3.

Wanafunzi wa kitivo cha elimu walimbana rais wao aitwaye Machumu na akatoa jibu kwamba kufikia kesho saa tano wanafunzi wote watakua wameingiziwa hela zao.
maswali:

Kwanini hakuwajulisha wanafunzi mapema kua ifikapo saa tano wataingiziwa hela zao hadi walipo mbana?

Je!Huu si uongo na uzushi?

Nanyie tumewachoka sasa,kila siku UDOM UDOM UDOM.EBU acheni ushamba nyinyi kuna mambo mengi tu ya msingi ....!!mbona hata sisi bado hawajatuingizia mzigo na bado tunapiga shule km kawa.SAUT tu tayari washaingiziwa mzigo,sembuse nyie....!!acheni UTOTO NYIE
 
Ndo serikali yetu hiye yenye sera ya kilimo kwanza kwa wakulima.
 
Back
Top Bottom