Udocta Tanzania

Udocta Tanzania

acha unoko wewee watu tunaishi mjini kwa kuitwa doctor😀,tumia mazingira kupiga hela,wakija kustuka una ghorofa,wanakutumia TRA..mara ooh,frimasoni😀
 
kaazi kwelikwelii! na ndio maana wanakosea hata kwenye kujitambulisha..unakuta mtu anajidk/anajiprof/anajieng/anajichungaji na hata mamr. nao wanajimr.....
mwalimu wangu wa lugha aliniambia kuwa ukiambiwa ujitambulishe unaanza straight na jina lako halafu unamalizia na hiyo title kama ni muhimu sana. kwa mfano....''naitwa Vakwavwe Ngogo,,mchungaji wa the ngogoz mission international....na sio kuanza kusema mimi ni mchungaji vakwavwe ngogo. vivyo hivyo kwa title zingine. now i know ilikoanzia hata ikawa common ni kwa sababu ya watu kutaka sifa, kudhani wanapandisha p kumbe kwa wanaojua wanaona ni upuuzi tu..
Umenielimisha vema, bravo[emoji106]
 
Back
Top Bottom