mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Sifa ndugu yangu, Watanzania tunapenda sana kuonekana tumesoma........... na njia tunazotumia kuonyesha usomi wetu ni Dr, Prof. au kuongea kiingereza kwa saaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaa................ hata kama kiingereza chenyewe tunakivunja.......Watanzania tunapenda kujikuza sana kielimu!Nafikiri kusini kwa jangwa la sahara ni sisi tu!Hata Wanaigeria wanaosifika kwa scams ,huwezi ukakuta mtu amefoji Phd maana wao elimu yao bado ni nzuri,ndio maana Ulaya na Marekani bado wao wanongoza kitaalamu kwa watu weusi.Kwa nini Slaa ajiite dr???na magazeti na vyombo vya habari vinamtambua hivyo?Hata Dr Edmond Mndolwa?ni accountant mzuri hii Phd ni ya nini.
Sio vibaya kupata udaktari wa heshima(Honorary doctorate)!lakini kwa nini kila siku watu wakuite dr?Dr Salim Ahmed Salim?ya nini miaka yote wakati hana real Phd?????Paul McCartney(ex Beattle) ana udactari wa heshima,kama Alex Ferguson wa Man Ultd.Lakini hakuna hata mtu mmoja anathubutu kumwuita Dr Paul Mccartney au Dr Alex Ferguson.
Mandela ,Tutu wanaheshima sana kuliko hata Nyerere wetu.Wana honorary doctors nyingi sana,lakini media ya south africa sijasikia kila siku ikimuuita Dr Mandela au Dr Tutu.haya ni bongo tu.
Slaa ana juris doctor(though hana undergraduate degree).Fair enough .Kwanini ajihalalishe udocta?Angalia Juris doctor za Obama ,Michele Obama na Bill Clinton.Lakini hakuna hata siku moja wakajiita madoctor kama wachwala wetu bongo.Condo Rice ana Phd,lakini hakujipamba kama Dr Rice.Robert Gate wa Pentagon pia ana real Phd,lakini hata siku moja ajiiti dr Gate.
Tukubali na tunafuuta mfumo wa Uk kielimu .Hata jamaa zetu wa SUA wanaomaliza Vet medicine hakuna sababu ya kujiita DR!!!!UK wanajiita VET kutofautisha na medical doctors.Akifanya Phd ndio anaitwa DR.
Hata uprofesa!!!kwa nini Mwandosya na Sarungi bado wanaitwa maprofesa,ingawa hawako katika any academic institutions?Na Kapuya vilevile.?Mpaka newspaper na vyombo vikisimama kuwaita watu hawa ma dr na maprofesa meaning yake inashuka sana.
Dr Karume,Dr Mzindakaya,Dr Nchimbi,Dr Fumbuka,Dr Chageni etc...Oh my God!
Kang,Alex Ferguson anayo hon. doctorate from Manchester Met University na Paul McCartney anayo toka YALE university.
Hawa hawatajiita Drs hata media kamwe
Kama vile tunavyoona jinsi gani nchi masikini zinabadilishana nafasi na nchi tajiri katika mambo ya kidini, huku wahubiri kutoka nchi kama Nigeria wakienda kuwahubiria wazungu dini ambazo wazungu walikuja kuhubiri Afrika miaka 100 iliyopita, kuna kubadilishana nafasi katika nyanja za jamii pia.
Inaonekana ile ari ya "Tanzania ni nchi isiyo matabaka" inakwisha sasa, na watu wengi waliochovya kwenye kibuyu cha asali ya ulimbwende wa kimagharibi sasa wanataka kuchonga mzinga.
Wakati wenzetu wanaona kujiita majina ya vyeo na usomi ni ukiritimba uliobobea ulimbukeni (wengine hata wanataka watoto zao wawaite kwa majina yao ya kwanza), sie tuliojulikana kwamba hatuna matabaka, tuliokuwa tukiitana "Ndugu" (hivi hili neno bado linatumika siku hizi katika kuamkuana na kutambulishana?) sasa tumetupilia mbali ndugu, tunakumbatia "uheshimiwa", tulitaka hata kumpa rais "utukufu" na kila mtu anataka "udaktari" hata wa kuchonga.
Na hata wahashamu wanawania ubunge, kijacho sintashangaa kuona wabunge wanataka uhashamu.
Pengine kumaliza shida yote wengine watataka urais ubadilishwe uwe usultani au ufalme kabisa, tujue moja.
Chonde !
Hon Pres.Sir.Prof.Dr.Gen.Admiral.Field Marshal Iddi Amin Dada B.A,B.Sc,M.Sc,MD,LL.B,LL.M,PhD.Sasa wote hawa wawili ni Knights of the British Empire, wamekuwa knighted na Queen na officially wanakuwa addressed kama "Sir" which is far more prestigious than a doctorate, kwa hiyo ukiwaita doctors ni kama una wa demote.
Ndiyo mana nasema huu ni ulimbukeni. Kwa sababu unaweza kuishia kumuita mtu Sir Dr Ambassador Chief Professor Eng Judge. So and So.
How awkward.
Watanzania tunapenda kujikuza sana kielimu!Nafikiri kusini kwa jangwa la sahara ni sisi tu!Hata Wanaigeria wanaosifika kwa scams ,huwezi ukakuta mtu amefoji Phd maana wao elimu yao bado ni nzuri,ndio maana Ulaya na Marekani bado wao wanongoza kitaalamu kwa watu weusi.Kwa nini Slaa ajiite dr???na magazeti na vyombo vya habari vinamtambua hivyo?Hata Dr Edmond Mndolwa?ni accountant mzuri hii Phd ni ya nini.