Udini ulianza kipindi cha Mwinyi - CCT

Status
Not open for further replies.
Maaskofu waja juu Mahakama ya Kadhi Friday, 17 December 2010 09:22 *Wadai waanzishe kwa fedha zao
*Waionya Serikali


Na John Daniel

MAASKOFU wameitaka Serikali kuzika mara moja suala la Mahakama ya Kadhi na kuagiza Bunge kutojadili suala hilo kwa kuwa lina madhara kwa umoja na mshikamano wa Taifa.Wakizungumza Dar es Salaam jana, Maaskofu wa
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wamesema kwa mujibu wa Katiba, Serikali au Bunge kujadili Mahakama ya kadhi ni kosa.

"Tukiona mambo yanaenda visivyo na sisi tukakaa kimya tutakuwa tunafanana na hao wanaoharibu. Suala la Mahakama ya Kadhi ni la kidini na kamwe halipaswi kuihusisha Serikali au Bunge," alisema Askofu Valentino Mokiwa wa Kanisa la Anglikana.

Askofu Mokiwa ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCT alisema kimsingi suala la Mahakama ya Kadhi inapaswa kuwa la dini husika na si kuihusiha Serikali kwa maana ya kutumia kodi za Watanzania kuishuhulikia.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCT, Askofu Peter Kitula, alisema Serikali ilifanya makosa kujiingiza katika suala hilo wakati Katiba imeweka wazi kuwa hiyo siyo kazi yake.

Naye mjumbe wa Tume ya CCT Askofu Askofu Owdenburg Mdegella, alisema nchi inatakiwa kuendeshwa kwa mfumo ulioweka kisheria mama na si vinginevyo.Maaskofu hao waliweka wazi kushtushwa na hali ya udini iliyojitokeza nchini hususan wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita na kuitaka Serikali kurekebisha makosa hayo.

Walisema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitambua hatari ya Serikali kujihusisha na siasa hivyo kutengansha suala hilo na uongozi wa nchi.
Walisema Serikali imekaa kimya wakati suala la udini likiachwa liendelee kushamiri katika jamii, lakini madhara yake ni makubwa zaidi.

Waliwataka wabunge pia kuwa makini na kutokubali kupokea malipo ya kodi za wananchi kwa kujadili masuala ya kidini.

Source: Maaskofu waja juu Mahakama ya Kadhi
 
Kwa hiyo unanambia kanisa ndio limeleta maendeleo baada ya kufanya chokochoko za mauaji ya kimbari?

Hizo nchi ulizozitaja zote chanzo cha madhara huko ni kanisa na kama si kanis basi ni wafuasi wa kanisa. Hilo halika ubishi. Na sasa wanaanza Tanzania.

Eeh Mungu tuepushe na fitna za kanisa.

Ah ah ahaaaaah! hivi kweli unauhakika wa unachokiandika? Usifuate bila kutafakari kila unachokisikia kwenye masjid. Anyway mtatafuta visingizio vya kila aina ili kujikosha lakini hali halisi inaonyesha kila penye uislam vurugu, fujo, mauaji ni kama kazi. Jee unajua kuwa Saudi Arabia ilikuwa nchi ya kikristo, je unajua kuwa wakristo waliokataa kulazimishwa uislam saudi arabia zama hizo waliuwawa. je unajua kuwa baada ya miaka kadhaa mifupa yao ilichukuliwa na wakristo wa misri na kwenda kuzikwa huko kwa sababu saudi arabia sasa ikiwa nchi ya kiislam ilikuwa haramu kuwa na makaburi ya wakristo? Mtaifanya Tanzania nchi ya kiislam kupitia ccm, OIC na sharia courts (mahakama ya kadhi) lakini balaa kwa vizazi vijavyo ni kubwa, litawala wote waislam kwa wakristo, of course wakristo zaidi maana wao ndo first target na baadae waislam wasiowaislam zaidi.
 
Naomba kujuwa hivi ugaidi na uislam vina undugu?? Kila akipatikana gaidi mwenye mabomu ni mwislam, kila pirate anayeteka meli ni mwislamu.
Kuna wakati mtoto mmoja alimwuliza baba yake nifanye ni ni ili niwe gaidi? Baba akamjibu haraka uwe mwislamu.
Nauliza tena, hivi kama tuna waislamu wengi uwezekano wakuwapata magaidi ni aslimia ngapi?
Naomba mnijibu. Mwisho hatutaki kuhubiri udini wakati wengine dini zao ni hatari tupu.Ni mapango ya ugaidi.
 
Matola ukitaka kuuongelea uislamu ni sharti uujue kwanza huo uislamu wenyewe sio unakurupuka na kuzungumza mambo usiyoyajua, huwezi kujaji uislamu kwa kuangalia Somalia na sudan tu. take effort ujifunze mambo kwanza uislamu unajemgwa na misingi mikuu miwili Qur an na Suna. Usijaji uislamu kuangalia wailamu wachache na huwezi kuuita uislamu ni ugaidi kwa kumuangalia Osana na Alqaida. Katika historia ya dunia mtu ambaye amua watu wengi dunia ni Adolf Hitler je dini yake tuiite ya kigaidi na Taifa liliua watu wengi duniani nia Marekani na wao tuwaite Magaidi wao na dini zao.

ukitaka kuasess dini angalia kwanza misingi yake mikuu siyo baadhi ya watu kwenye dini hiyo. yanayotokea somalia na sudan hata uislamu unayapinga.

Qur an inasema kuua mtu mmoja ni sawa na kuua ulimwengu mzima na kuokua maisha ya mtu mmoja ni sawa na kuokoa maisha ya walimwengu wote. sasa angalia mafundisho haya na ujaji uislamu ukoje.

Watu wengi hawajui maana ya neno JIHADI wanatfusiri kama Holly war (vita vitakatifu au vita vya dini) katika qur an nzima neno holly war halijatumika mahali popote.
Maana halisi ya neno hili. JIHADI linatokana na neno la kliarabu JAHADA maana yake ni JUHUDI kufanya juhudi yoyote ile ni kufanya jihadi hata kama ni juhudi ktk elimu, kazini, kifamila n.k. Kunakijana alimfuata mtume akitaka kwenda kufanya jihadi akimaanisha kupigana vita lkn mtume alimuamuru kufanya jihadi iliyobora zaidi ni kusaidia na kumtendea yaliyomema mama yake mzazi.



Ndugu yangu wewe ni muungwana, na muungwana yeyote ni vitendo, unaonekana hautawaliwi na jazba na ni mtu unaependa maelewano,lakini hapo kwenye RED si sawa mimi ni mtu makini sana, lakini kama ungefuatilia vizuri mimi nilichokiandika ni kwamba mimi na wewe mawazo yetu ni mamoja, mtu niliyemjibu, nimejibu na reply with quote, kwa sababu nia yake si njema na watu kama yeye ni chukizo kwa mwenyezi mungu, yeye hoja yake anataka kupotosha kwamba kanisa ndio lilihusika na GENOCIDE ya Rwanda kwamba sasa kanisa lote dunia nzima halifai, je wewe unaweza kumuunga mkono mtu mwenye akili mgando kama huyo?
ndio maana nimejaribu kuonesha mifano mingi kwamba hawa magaidi mambo wanayofanya je ni haki kusema uislamu ni dini ya kigaidi? hapa jibu lake si kweli.
mbona hawamtaji kibwetele wa uganda aliyedanganya waumini wake kwamba ni mwisho wa dunia, halafu akawafungia kanisani kwake na akawapiga kiberiti wote, je hapo utahusisha ukristo na mafundisho ya shetani?
mimi sio mfia dini na siamini kama dini itanipeleka katika ufalme wa mungu bali naamini ni matendo yangu ndio yatakayokuwa jugdement yangu kwa mungu wangu.
watu wote wanaoshabikia udini ni wapuuzi tu, tena wajinga wajinga tu.
 
Ila ukiangalia vizuri utaona kuwa machafuko ya nchi hizi yanatokana na kuingiliwa na nchi za magharibi, It is imperialism which dusturbs the political sturbility of thse countries!

visingizio tu, lakini ukweli ni kwamba uislam ulianza kwa vita na umwagaji damu, hata mtume wake alipigana na kuua na kuteka nyara, je hujui kuwa jambia lake lilijulikana kwa jina la "zulfikar" yaani "vunja shingo au uti wa mgongo". Mtoto wa nyoka ni nyoka, uislam umezaliwa kwa vurugu, umeenea kwa vurugu na utafanya vurugu hadi kiama itakapojulikana muuaji ni nani na mwokozi ni yupi. Unasema kuingiliwa na nchi za magharibu, je unajua ni kiasi gani iran inapandikiza ushia nchi mbalimbali au hela kiasi gani saud arabia inatumia kueneza uslam africa, europe, america nk, unajua nani anasponsor misikiti inayoota kama uyoga duniani kote hivi sasa? je unajua nani ana sponsor al qaida, taliban, al shabab kama siyo saud arabia, je unajua northern nigeria nani ana sponsor fujo za kuua wakristo na kuchoma makanisa? unasema nchi za magharibi kuingilia nchi zingine? tafadhali elekeza pia darubini yako mashariki ili upate picha kamili.
 
It is a common complaint among some non-Muslims that Islam would not have millions of adherents all over the world, if it had not been spread by the use of force. The following points will make it clear, that far from being spread by the sword, it was the inherent force of truth, reason and logic that was responsible for the rapid spread of Islam.

1. Islam means peace.

Islam comes from the root word 'salaam', which means peace. It also means submitting one's will to Allah (swt). Thus Islam is a religion of peace, which is acquired by submitting one's will to the will of the Supreme Creator, Allah (swt).

2. Sometimes force has to be used to maintain peace.

Each and every human being in this world is not in favour of maintaining peace and harmony. There are many, who would disrupt it for their own vested interests. Sometimes force has to be used to maintain peace. It is precisely for this reason that we have the police who use force against criminals and anti-social elements to maintain peace in the country. Islam promotes peace. At the same time, Islam exhorts it followers to fight where there is oppression. The fight against oppression may, at times, require the use of force. In Islam force can only be used to promote peace and justice.

3. Opinion of historian De Lacy O'Leary.

The best reply to the misconception that Islam was spread by the sword is given by the noted historian De Lacy O'Leary in the book "Islam at the cross road" (Page 8):
"History makes it clear however, that the legend of fanatical Muslims sweeping through the world and forcing Islam at the point of the sword upon conquered races is one of the most fantastically absurd myth that historians have ever repeated."

4. Muslims ruled Spain for 800 years.

Muslims ruled Spain for about 800 years. The Muslims in Spain never used the sword to force the people to convert. Later the Christian Crusaders came to Spain and wiped out the Muslims. There was not a single Muslim in Spain who could openly give the adhan, that is the call for prayers.

5. 14 million Arabs are Coptic Christians.

Muslims were the lords of Arabia for 1400 years. For a few years the British ruled, and for a few years the French ruled. Overall, the Muslims ruled Arabia for 1400 years. Yet today, there are 14 million Arabs who are Coptic Christians i.e. Christians since generations. If the Muslims had used the sword there would not have been a single Arab who would have remained a Christian.

6. More than 80% non-Muslims in India.

The Muslims ruled India for about a thousand years. If they wanted, they had the power of converting each and every non-Muslim of India to Islam. Today more than 80% of the population of India are non-Muslims. All these non-Muslim Indians are bearing witness today that Islam was not spread by the sword.

7. Indonesia and Malaysia.

Indonesia is a country that has the maximum number of Muslims in the world. The majority of people in Malaysia are Muslims. May one ask, "Which Muslim army went to Indonesia and Malaysia?"

8. East Coast of Africa.

Similarly, Islam has spread rapidly on the East Coast of Africa. One may again ask, if Islam was spread by the sword, "Which Muslim army went to the East Coast of Africa?"

9. Thomas Carlyle.

The famous historian, Thomas Carlyle, in his book "Heroes and Hero worship", refers to this misconception about the spread of Islam: "The sword indeed, but where will you get your sword? Every new opinion, at its starting is precisely in a minority of one. In one man's head alone. There it dwells as yet. One man alone of the whole world believes it, there is one man against all men. That he takes a sword and try to propagate with that, will do little for him. You must get your sword! On the whole, a thing will propagate itself as it can."

10. No compulsion in religion.

With which sword was Islam spread? Even if Muslims had it they could not use it to spread Islam because the Qur'an says in the following verse:
"Let there be no compulsion in religion:
Truth stands out clear from error"
[Al-
Qur'an 2:256]

11. Sword of the Intellect.

It is the sword of intellect. The sword that conquers the hearts and minds of people. The Qur'an says in Surah Nahl, chapter 16 verse 125:
"Invite (all) to the way of thy Lord
with wisdom and beautiful preaching
;
and argue with them in ways that are
best and most gracious."
[Al-
Qur'an 16:125]

12. Increase in the world religions from 1934 to 1984.

An article in Reader's Digest ‘Almanac', year book 1986, gave the statistics of the increase of percentage of the major religions of the world in half a century from 1934 to 1984. This article also appeared in ‘The Plain Truth' magazine. At the top was Islam, which increased by 235%, and Christianity had increased only by 47%. May one ask, which war took place in this century which converted millions of people to Islam?

13. Islam is the fastest growing religion in America and Europe.

Today the fastest growing religion in America is Islam. The fastest growing religion in Europe in Islam. Which sword is forcing people in the West to accept Islam in such large numbers?

14. Dr. Joseph Adam Pearson.

Dr. Joseph Adam Pearson rightly says, "People who worry that nuclear weaponry will one day fall in the hands of the Arabs, fail to realize that the Islamic bomb has been dropped already, it fell the day MUHAMMED (pbuh) was born".
 
Kama kuna tofauti kati ya uislam na vurugu basi naomba nifahamishwe. Binafsi naona ni kitu hicho hicho tu. Tatizo la waislam ni kuhisi kuonewa. Dini gani inayoongoza kwa kuwa na vikundi lukuki vya kigaidi!!!!
 
Msaada tutani wakuu, naomba kuuliza tu, hivi kule somalia kuna kanisa vile? zile mahakama za kiislamu pale mogadishu wanachofanya unakijuwa, wanayofanya al qaeda, al shabab, islamic Jihad, je tuwafungamanishe waislamu wote kwenye kazia hiyo? au je ni haki conclude na tuiite dini ya kiislamu ni dini ya kigaidi? yaani exis of envil.
Ni lini uliwahi kusikia Christian Jihad? kule Darful Sudan ninani anaewauwa waafrika weusi wenzetu?
umaskini wa mawazo ndio umaskini mbaya zaidi kuliko ule umaskini wa mali, nadhani inabidi tuanze kwanza kupiga vita umaskini huu wa mawazo hapo ndipo tutafanikiwa kuuwondoa umaskini wa mali.

tatizo hapa kila m2 anatetea upande wake. U-Great Thinkers kweli upo humu? Kama vita vya kidini navyofahamu kila dini inahusika. Uislamu unajulikana kuanzia Afghanistan, Pakistan, India, Sudan, Misri, Yemen, Iraq, Iran, na Palestina. Pia ukristo nao unavuma huko North Ireland, Ujeruman, iliyokuwa Yugoslavia na Georgia. Ukisoma historia utagundua kuwa kanisa ndilo lilouwa watu wengi zaidi ya vita nyingine za kidini hapa duniani, ukifuatiwa na Uislamu na mwisho Uhindu. Hapa kinachotakiwa ni kujadili jinsi gani ya kuiepusha nchi yetu na UDINI sio kuanza kukashfiana, maana naona tayari humu kuna vita vya maneno. Hayawi hayawi mwishowe yatakuwa
 
Naomba kujuwa hivi ugaidi na uislam vina undugu?? Kila akipatikana gaidi mwenye mabomu ni mwislam, kila pirate anayeteka meli ni mwislamu.
Kuna wakati mtoto mmoja alimwuliza baba yake nifanye ni ni ili niwe gaidi? Baba akamjibu haraka uwe mwislamu.
Nauliza tena, hivi kama tuna waislamu wengi uwezekano wakuwapata magaidi ni aslimia ngapi?
Naomba mnijibu. Mwisho hatutaki kuhubiri udini wakati wengine dini zao ni hatari tupu.Ni mapango ya ugaidi.

This is outrageous and most offensive to Moslems.
Tunaweza kubishana kuhusu uhalali wa mahakama ya Kadhi, OIC lakini hayo haya justify kutukana Uislam na Waislam wote!
Please be civilised and apologize.
 
Ccm wanamchango mkubwa sana wa 96% kwenye kuleta udini tanzania?

TANZANIA TUNAYO LESENI YA KUJENGA KITUO KA BIASHARA NA JUMBA LA IBADA KWA PAMOJA?

Nakubaliana kabisa nawewe ndugu katika madai haya mazito!!!

Na kwa mtindo huo huo Mzee Mwinyi alivyopandikiza MBEGU TUSIOIFAHAMU VEMA Tanzania hizi chuki za KIDINI nchini na sasa Mhe Kikwete kulitekeleza kwa kasi ya ajabu, ni jukumu lao kulizima moto huu haraka kwa kitisha MJADALA WA KITAIFA kuandika upya KATIBA.

Hivi kweli nyinyi MLIWAHI KUONA KATIKA NCHI gani ambapo mfanyabishara anapoenda kuomba leseni ya kujenga kituo chake cha biashara na HAPO HAPO anaambatanishiwa na leseni ya kujijengea mle mle JUMBA LA IBADA??? Hata nyinyi wataalam wa maswala ya ardhi yetu hii ya Tanzania, ni sahihi kweli kufanya hivyo.

Naomba JIBU KWA MHE KIKWETE mwenyewe, ambaye ndiye niliyempa au kukasimu haki zote na madara ndani ya KATIBA ya sasa kumiliki kwa niaba yangu ardhi ya Tanzania na vitu vyote vilivyomo chini na juu ya ardhi hiyo, AKANIRIDHISHE BILA ya kubakiwa na maswali zaidi kichwani kwamba kile kiwanja mkono wa kushoto Njia Panda ya Ubungo unapotokea Mikoani ni (i) KIWANYA CHA BIASHARA au (ii) KIWANJA CHA JUMBA LA IBADA (ambalo naliheshimu sana bila kujali ni wa imani gani) au (iii) ni KIWANJA CHA MATUMIZI YOTE MAWILI KWA PAPOJA.

Na kule Al-Jazeera ukielekea Mbeya je??? Na Pale Mombo vipi nako??? Tukirudi tena pale njia panda Ubungo pale naona Supermarket, Naona Kituo cha Mafuta cha OILCOM na vile vile kwenye ubavu wa kuelekea Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, kuliko na wataalam wengi zaidi juu ya masuala ya ardhi na matumizi yake sahihi nchini mwetu, naona MSIKITI. Mpaka hapo, ninapopita au kusubiri daladala (usafiri wangu wa kudumu) huwa najikuta na mijadala isioisha ndani kwa ndani.

Na nikikumbuka wakati ule mtambo wa gesi Ubungo uliponusurika kulipuka au ujambazi wa mara kwa mara pale, wakati mwingine huwa nakijikuta nikihoji mantiki ya mwanataaluma yeyote aliyefanikisha miradi kama hii. Je, nchini kote tutegemee sura za aina hii ngapi zilizopo na zinazoendelea???

Kama jibu ni namba tatu hapo juu kama ambavyo inavyoonekana kiukweli pale, je mheshimiwa ulikua unatumia sheria zetu hizi hizi katika kusimamia matumizi sahihi ya ya rasilmali ardhi ya taifa letu???

Na kama huu ndio mtindo wa kisasa, je nao wenzetu wenye asili ya Ki-Asia wakajijengee mijumba yao ya ibada sehemu zao za biashara???

Je, tukitaka sasa kuwe usawa wa aina hii ambapo hata Marehemu PROFESA Kigoma Malima (apumzike kwa amani) aliwahi kuasisi kwa kujijengea MSIKITI katika ofisi ya serikali pale Wizara ya Fedha sasa na kila mtu akijengee tu mijumba yao ya ibada ama mashuleni, ofisini, kwenye biashara zao HATIMA YAKE ITAKUJAKUA NI NINI. Mwisho wa siku tunatafuta nini hasa na MKAKATI KAMA HUU kwa taifa letu??? Hivi kweli jamani????
 
visingizio tu, lakini ukweli ni kwamba uislam ulianza kwa vita na umwagaji damu, hata mtume wake alipigana na kuua na kuteka nyara, je hujui kuwa jambia lake lilijulikana kwa jina la "zulfikar" yaani "vunja shingo au uti wa mgongo". Mtoto wa nyoka ni nyoka, uislam umezaliwa kwa vurugu, umeenea kwa vurugu na utafanya vurugu hadi kiama itakapojulikana muuaji ni nani na mwokozi ni yupi. Unasema kuingiliwa na nchi za magharibu, je unajua ni kiasi gani iran inapandikiza ushia nchi mbalimbali au hela kiasi gani saud arabia inatumia kueneza uslam africa, europe, america nk, unajua nani anasponsor misikiti inayoota kama uyoga duniani kote hivi sasa? je unajua nani ana sponsor al qaida, taliban, al shabab kama siyo saud arabia, je unajua northern nigeria nani ana sponsor fujo za kuua wakristo na kuchoma makanisa? unasema nchi za magharibi kuingilia nchi zingine? tafadhali elekeza pia darubini yako mashariki ili upate picha kamili.
You need to be taught a real history, inaonekana unaongea usichokijua,inaonekana umesikia tu kuhusu Mtume ila hujasoma, unajua historia watu wa Makkah kabla hajaletwa Mtume?, nini kilibadilisha machafuko na mauwaji baina ya koo za waarabu na hatimae wakaja kuishi maisha ya amani ambayo tangu ilimwengu uumbwe hawajapata watu kuishi maisha ya amani kama hayo, na hawatapata watu kuishi, kuenea kwa uislamu kulikuwa kwa njia ya mafundisho, ni vita gani walipigana waislamu kupeleka uislamu india, pakistan, indonesia, malaysia, africa mashariki, africa ya kati, na leo maelfu kwa maelfu ya wazungu wanasalimu, ni vita gani inapiganwa kueneza uislamu huko?, uislamu umetawala Spain kwa miaka mia nane, kama wangekuwa wanatumia nguvu leo uislamu ungeenea Ulaya yote. kuenezwa kwa uislamu duniani ni katika kuustaarabisha Ulimwengu, hivyo hilo halina tatizo, Marekani na washirika wake wameleta vita IRAQ na AFGHANISTAN, ni nchi gani imekuwa vitani kwa sababu Saudia imepeleka Uislamu huko?, makanisa mengi ya huku kwetu yanasaidiwa na taasisis za nje, sioni shida kwa taasisi za kiislamu za nje kisaidia misikiti. Hoja iko pale pale, magharibi ndio chanzo cha fujo katika nchi za kiislamu.
 
Israel inaua wapalestina kwa mabomu yaliyopigwa marufuku ya white phosphorus, marekani kaivamia iraq bila ya kosa na kutumia silaha za hatari kwa binadamu, alie vamia somalia na kuondoa amani ni huyohuyo mmarekani, marekani ndio nchi ya mwanza duniani kutumia mabomu ya atomic kule japan ingawa ni makafiri pia.

Udini tanzania ulianzishwa na kafiri laanatullah nyerere ambae aliwabagua waislam ktk kila sector. Ktk uongozi, ktk masomo etc. Nyerere aka taifisha mali za waislam na akawaua waislam waliokua wakimpinga, nyerere akavunja jumuia za waislam na akaanzisha jumuia ya wanafiki kwa maslah yake(BAKWATA).

Ktk awamu ya mkapa ndio udini ukazidi. Makanisa yakapatiwa asilimia ya fedha ktk burget ya nchi, makanisa yakapewa mbunge wao ambae anawakilisha kanisa ktk bunge, makanisa yakapangiwa ruzuku kutoka serikalini, waislam wakauliwa misikitini kama vile muembe chai, imamu wa msikiti unguja akauliwa, na wapemba wakakiona kilichomtoa kanga manyoya na tanzania kwa mara ya kwanza ikazalisha wakimbizi kwa amri ya laanatullah mkapa.

Itali inawakilishwa na balozi mbili tanzania, moja ni ya serikali na nyengine ni ya kanisa. Jee huo si udini?

Yakhe makafiri munataka kuanzisha vita ya udini kwa mtindo munaokwenda nao. Mimi nawauliza tu mushajitoolea? Maana wengine wao wanapenda kufa kama nyie mnavyopenda kuishi. Shauri yenu.
 
Hivi ni kwanini sisi watanzania tunataka kuzusha hili swala la udini ambalo always vita yake huwa haina mshindi ila madhara yake hayaelezeki na wakati mwengine huwa hata sitaki kufikiria maana its like a hell...! tusipende kuwa mashabiki tuu wa mambo ambayo madhara yake hakuna anaeweza kuyabeba humu ndani ya jf ama watanzania kwa ujumla...! Tunasema binadamu bora ni yule anayejifunza from his mistakes ama za wenzake but sisi watz its seems we're neglecting that tena kwa makusudi...! Hii nchi haina dini penda tusipende, hamna mtu atarudishwa uarabuni kwa uislam wake wala kupelekwa rom kwa ukatoliki wake ama german kwa ulutheran wake ama englang kwa uanglkana wake ama russia kwa uorthodox wake so wote tutabanana humu na vita ikianza tutamalizana...! tusitake kujifanya eti waislam tuu ndo wenye jihadi vipi kuhusu Rwanda na Ireland...?? je hawa waislam wanaopigana jihadi huko arabuni ( though jihadi nyingi za waislam ni aftrer american/british influence kutekeleza sera zao za divide and rule) au wakiristu wanaopiga jihadi kule ireland na waliopigana Rwanda wamefaidika nini...? AS GREAT THINKERS WE HAVE TO DISCUSS THIS ISSUE KWA UWAZI KABISA NA BILA KUTETEA DINI ZETU AMA KUKEJELI ZA WENGINE HAPO NDO TUTAFIKIA MUAFAKA HALISI....! Sina haja ya kueleza nyerere alivyowafanyia wakatoliki mpaka leo anataka kupewa utakatifu wkt kina rugambwa wala hawatajwi na pia sina haja ya kueleza ya mwinyi na mabucha ya nguruwe, ya mkapa ndo usiseme kabisa na ya jk ndo mnayaona....! Nimejaribu tu kuonesha kwamba kila raisi wa bongo aliepita alionesha some element za kuupendelea upande fulani so chamsingi hapa ni sisi kama jf na watanzania kwa ujumla tujaribu kudadavua ni kwa jinsi gani tutaondoa hz element za udini kwenye siasa na wala si kupigana vijembe...! nawakilisha..:A S-alert1:
 
Mwenyekiti wa CCT, Askofu Peter Kitula amesema tatizo la udini lilianza mwaka 1986 na hakuna kiongozi wa serikali aliyejitokeza kulikemea badala yake Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilizidi kufanya makosa kwa kuingiza suala hilo katika Ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2005.

“Kuanzia miaka ya 1986 kulianza kujitokeza mihadhara ya kidini na kidhehebu katika jamii ambayo hatukuwa tumeizoea lakini jambo hili halikukemewa wala kuchukuliwa hatua za kisheria".

Ilani ya uchaguzi ya CCM 2005 ilitamka bayana kuwa suala la Mahakama ya Kadhi litashughulikiwa na kupatiwa ufumbuzi, ikumbukwe kuwa mahakama ya kadhi ni jambo la kidini na kiibada katika dini ya kisilamu, jambo hili ni kinyume cha Katiba ya nchi na sheria ya vyama vya siasa hakuna aliyeona hatari yake na kwamba litakuwa chanzo cha udini ndani ya siasa za Tanzania, “alisema.

Kwa maneno ya Kitula umefika wakati sasa tuache unafiki tuanze kuwataja kwa majina yao wote wanaohusika kulipeleka taifa kusiko bila kumng'unya maneno, kwa kuanzia nitaanza na Mwenyekiti wa NEC anakotupeleka siko. Ni ukweli mchungu.
Huu ndiyo ujinga unaotudumaza tushindwe kujikwamua na kujieletea maendeleo.Tanzania inaongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria na kinachotuumiza ni ubinafsi wa wanaopewa dhamana ktk nyanja mbali mbali.Hivi Mikataba mibovu inasababishwa na udini wa JK AU Uislamu?Ufisadi kila pembe ni udini wa JK au Uislamu?Huduma za jamii mbovu ni Udini wa JK au Uislamu?Zaidi ya asilimia 80 za ofisi za serikali na Idara zake zinaongozwa na kuendeshwa na watumishi wa kikiristo ambao ndiyo wengi waliwahi kwenda shule KAMA TUNAVYOELEZWA HAPA JF ni Udini wa JK au Uislamu.zaidi ya asilimia 70 ya makatibu wakuu wa serikali akiwemo katibu mkuu kiongozi ni wakristo na huo ni Udini wa JK na Uislamu? ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WABUNGE NI WAKRISTO je nao ni udini wa Jk NA UISLAM?Zaidi ya asilimia 75 ya Waheshimiwa mabalozi ni wakristo je ni udini wa JK au uislamu?Zaidi ya asilimia 70 ya vigogo ndani ya ccm wanaopinga mabadiliko ya katiba mpya ni Udini wa JK au Uislam?
Kuhusu issue ya Kadhi hii si issue ngeni imeshapelekwa bungeni na ikafuata taratibu za husika za kibunge na ikafa kifo cha mende .Tanzania ni ya wote kama waislamu wanaona kuna umuhimu wa mahakama ya kazi na wanaiomba kwa kufuata taratibu husika wacheni taratibu husika zifuate mkondo wake na uamuzi wa utakaofikiwa na kuwa ni sheria ndiyo huo utafuatwa.Hili si swala la JK wala CCM wala nani bali bungeni ndiyo mahala pake. na huko ndiyo suluhisho litapatikana.Mfano Marekani Muswada wa kuwaruhusu magei waweze kujiunga na jeshi na kutumikia nchi umepingwa mara ngapi na bado unarudishwa bungeni na kujadiliwa na kupigiwa kura.Tufike wakati watanzania tujue matatizo yetu yanaletwa na nini na nani maadui wa taifa letu kwani maadui wa taifa hili hawatoki dini moja wanatoka kila dini na hata badhi yao ni wasio na dini pia ,ambao tumewapa dhamana ktk nyanya mbali kuhakikisha wanajenga taifa lkn badla yake wanaliteketeza taifa kwa ufisadi uliokithiri.
 
nisubiri kesho namimi nikuletee ushahidi kwamba mtume alikufa kwa NGOMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM inapaswa kulaumiwa na kulaaniwa kwa kupanda na kulea udini Tanzania kwa kipindi cha miongo miwili sasa.Kipindi cha Mzee A Hassan Mwinyi vilizuka vikundi vya imani kali ya dini ya kiislam karibu mikoa yote Tanzania bara na kazi yao kubwa ilikuwa kuutukana na kuhujumu ukristo.Makanisa na shule za madhehebu ya kikiristo yalichomwa moto na kusababisha vifo[Shauri Tanga] na hasara kubwa ya mali na miundo mbinu.Serekali iliunda tume kadhaa kwaajili ya kuudanya umma.

Kwenu kudai haki ya uananchi mnaita udini?? Sasa kudai haki ya ya walemavu, wanawake,na wengineo nako ni dhambi?? Kwenu Muislamu ni wa kudhalilishwa na kuwa mtu wa nyuma au sivyo?? Hebu tupenitwakimu za uhakika nini kibaya kilichofanywa na Waislamu zaidi ya kudai haki zao???
 
Unaweza kutuambia ni ki vipi kanisa lilianzisha udini Tanzania, ukifananisha Tanzania na Rwanda kuna watu watakuja na mifano mingi duniani ikiwamo Afghanistan, Iran, Yemen nk kote huko kunasababishwa na kanisa?, tuzungumzie nchi yetu.

Kwani sasa tunaongelea nini hapa hebu wacha u j uha! Si CCT wanaoanzisha hili sakata? Nani CCT nawe unashabikia?
 
Msaada tutani wakuu, naomba kuuliza tu, hivi kule somalia kuna kanisa vile? zile mahakama za kiislamu pale mogadishu wanachofanya unakijuwa, wanayofanya al qaeda, al shabab, islamic Jihad, je tuwafungamanishe waislamu wote kwenye kazia hiyo? au je ni haki conclude na tuiite dini ya kiislamu ni dini ya kigaidi? yaani exis of envil.
Ni lini uliwahi kusikia Christian Jihad? kule Darful Sudan ninani anaewauwa waafrika weusi wenzetu?
umaskini wa mawazo ndio umaskini mbaya zaidi kuliko ule umaskini wa mali, nadhani inabidi tuanze kwanza kupiga vita umaskini huu wa mawazo hapo ndipo tutafanikiwa kuuwondoa umaskini wa mali.

Kwa sauti hiyo hiyo tunaomba kukuuliza iwapo hao Wasomali wanaopigana ni kati ya Waislamu na Wakristo?? Jenga hoja inayoendana na topic. Kwani dunia hii wote wanaopigana hata kule Ireland ni Waislamu? Hivyo Marekani yuko Afghanistan akipigana Jihadi???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom