Udini ulianza kipindi cha Mwinyi - CCT

Udini ulianza kipindi cha Mwinyi - CCT

Status
Not open for further replies.
Niona Tanzania yenye machafuko,nanusa harufu ya damu za watu wasio na hatia zitakazo letelezwa na watu kama nyie mlokosa maarifa na tafakari.Hakika watawala hampaswi kufumbia macho suala hili la udini,sasa iko haja ya kuziba nyufa hizi.Wana JF wenzangu sisi ni sehemu muhimu ktk kuepusha hili balaa,badala ya kulichochea.Tuangalie impact ya hoja zetu humu.Hakuna atakayebaki bila kuguswa na vita mnayoiandaa kwa bidii zote.Think twice please,vinginevyo anzeni kuombana radhi humuhumu JF kwa kauli zenu chochezi,kama kweli mnakitakia mema kizazi hiki na vijavyo.Wengi wenu hamuvijui vita.
 
Msaada tutani wakuu, naomba kuuliza tu, hivi kule somalia kuna kanisa vile? zile mahakama za kiislamu pale mogadishu wanachofanya unakijuwa, wanayofanya al qaeda, al shabab, islamic Jihad, je tuwafungamanishe waislamu wote kwenye kazia hiyo? au je ni haki conclude na tuiite dini ya kiislamu ni dini ya kigaidi? yaani exis of envil.
Ni lini uliwahi kusikia Christian Jihad? kule Darful Sudan ninani anaewauwa waafrika weusi wenzetu?
umaskini wa mawazo ndio umaskini mbaya zaidi kuliko ule umaskini wa mali, nadhani inabidi tuanze kwanza kupiga vita umaskini huu wa mawazo hapo ndipo tutafanikiwa kuuwondoa umaskini wa mali.


Christian jihad ilikuwepo na inaendelea, inaitwa Crusade, ilianza karne nyingi zilizopita, ambapo wakristo walikuwa wanavamia miji ya kiislami na kuwaua, karibuni tumeshuhudia Marekani na washirika wake wakivamia nchi za kiilslamu kama Iraq, Afghanistan na wanatafuta mbinu ya kuivamia Iran. kama ni msomi wa ukweli utakuwa unajua kuhusu crusade war.
 
Udini haukuwepo wakati wa Nyrere, ulianza wakati wa Mwinyi, ukaondoka wakati wa Mkapa, ukarudi wakati JK, utaondoka wakati wa ................, halafu utarudi wakati wa..................

A Poor historian, if you need to explain the religious movements in Tanzania you need to begin during colonialism and the way the Portuguese under Vasco Da Gama destructed mosques in Kilwa nad the whole of East African Coast, during the Primitive Capitalism. Then came the time where the German and British capitalists destructed the moslems cities, giving the opportunites to their missioneries to spread christinaity and segregate the moslems in education and health services. After independence Nyerere, destructed East African Muslim Welfare Society and created a bogus, organization, BAKWATA to control the muslims. Under mwinyi the puppet of the christians many muslims were put into the jail, Mkapa Killed many muslims at Mwenbechai, and banned the book, Mwembechai Killings. Kikwete did nothing to the muslim till now, he continue to favor the christians using the MoU. Actually the Catholics uses CCM (Christian Catholic Movemets) To control the muslims. It has now found another Political party to sustain its needs. For more informatin get a copy of a book written by a world famous historian Dr Mohamed Said, who refuted all arguments of the christians.
 
Nimetembelea Rwanda hadi katika Jumba la makumbusho ya Genocide unachosema kuhusu kanisa sio cha ukweli walikuwa ni individuls wachache waliojawa ukabila ndani yake Uhutu na Utusi ndiyo walihusika tena wakati walipokuwa wanakimbia askari wa Interahamwe kujificha kanisani,ghasia zote zimechochewa na Shehe simkumbuki jina lake na walikuwa na kituo cha redio falsafa yao ikiwa chinja hao wakristo ili Kagame akute majeneza kisa wengi wao ni wakristo.picha zipo katika makumbusho hayo hauruhusiwi kupiga picha katika jumba hilo ukitaka kuona athari za Udini na Ukabila tembelea Jumba hilo nadhani utapata ukweli zaidi kuliko kusoma katika makala za uongo.
Kinachofanyika hapa TZ ni sawa na kuchezea kaa la moto,najua wakubwa wakitembelea Rwanda hawapati nafasi ya kufika katika makumbusho hayo hata wakifika ni kwa muda tuu.na ulinzi mkali.hauwezi kusoma historia ya Genocide ya Rwanda.Nilipata nafasi kupitia kila maelezo na kusoma hitoria yote na ilinichukua muda wa masaa 5 kuweza kumaliza yote nilifanya hivyo tena kwa roho ngumu kwani mengine yanasikitisha kama hauwezi kuvumilia huwezi kumaliza.HAYA YA UDINI NA UKABILA YASIKILIZIE KWA JIRANI YAKO YAKIKUFIKA NI MABAYA SANA TENA YA KUTISHA YASIYOELEZEKA
 
Hembu tuangalie kwa sasa elimu,afya,ajira ni kundi lipi lipi lipo katika hali bora ukilinganisha na jingine?ni wazi kuwa waislam wapo nyuma katika mambo yote yaliyotajwa,mpaka mkapa kuwaonea huruma kuwa chuo walau kimoja morogoro.Hivyo udini kanisa unaolalamikia ni kejeli,kebehi,kuwasanifu waislam wajione wanafaidi na matunda ya uhuru walioupigania toka kwa muingereza na kumkaribisha nyerere kuongoza na baadae kuachwa solemba kwa kuundiwa chombo kisicho na tija kwao bakwata.
.

Mwalimu alikuwa na kipaji cha kushawishi na hakuna Rais aliyetokea kufikia karama/kipaji chake. kama mwalimu alipewa nafasi ya kuongoza kuomba uhuru basi ni kwa sababu ya uwezo wake na si kitu kingine.Nafikiri ni busara kutumia neno kuomba uhuru kwa waingereza kuliko kupigania. Tanzania haikupigana kwa damu kama ilivyo kwa baadhi ya nchi.

Baraza la kwanza la uhuru lilikuwa na waislamu wa kutosha mchanganyiko na wakristo. Baraza hili ndio lilikuwa kama moyo wa kuwaandaa watanzania kuanza maisha yao baada ya kupata uhuru. baada ya muda nyerere alinyang'anya shule za mission/seminari na binafsi nyingi zaidi zilikuwa za wakristo ili kila mtanzania apate kusoma kwani aliamini urithi bora kuliko wote ni elimu lakini pia alijua kwa sababu ya historia wakristo walikuwa wamewaacha mbali ndugu zao waislamu.Jambo hili ni kama dogo lakini kama falsafa hii ya nyerere ingeonekana kwetu sote mengine yote yasingejitokeza kuzungumzia uhalisia wa tofauti za maisha baina ya waislamu na wakristo hata hilo la kuomba uhuru lisingekuwa la mjadala.
 
Msaada tutani wakuu, naomba kuuliza tu, hivi kule somalia kuna kanisa vile? zile mahakama za kiislamu pale mogadishu wanachofanya unakijuwa, wanayofanya al qaeda, al shabab, islamic Jihad, je tuwafungamanishe waislamu wote kwenye kazia hiyo? au je ni haki conclude na tuiite dini ya kiislamu ni dini ya kigaidi? yaani exis of envil.
Ni lini uliwahi kusikia Christian Jihad? kule Darful Sudan ninani anaewauwa waafrika weusi wenzetu?
umaskini wa mawazo ndio umaskini mbaya zaidi kuliko ule umaskini wa mali, nadhani inabidi tuanze kwanza kupiga vita umaskini huu wa mawazo hapo ndipo tutafanikiwa kuuwondoa umaskini wa mali.

Matola ukitaka kuuongelea uislamu ni sharti uujue kwanza huo uislamu wenyewe sio unakurupuka na kuzungumza mambo usiyoyajua, huwezi kujaji uislamu kwa kuangalia Somalia na sudan tu. take effort ujifunze mambo kwanza uislamu unajemgwa na misingi mikuu miwili Qur an na Suna. Usijaji uislamu kuangalia wailamu wachache na huwezi kuuita uislamu ni ugaidi kwa kumuangalia Osana na Alqaida. Katika historia ya dunia mtu ambaye amua watu wengi dunia ni Adolf Hitler je dini yake tuiite ya kigaidi na Taifa liliua watu wengi duniani nia Marekani na wao tuwaite Magaidi wao na dini zao.

ukitaka kuasess dini angalia kwanza misingi yake mikuu siyo baadhi ya watu kwenye dini hiyo. yanayotokea somalia na sudan hata uislamu unayapinga.

Qur an inasema kuua mtu mmoja ni sawa na kuua ulimwengu mzima na kuokua maisha ya mtu mmoja ni sawa na kuokoa maisha ya walimwengu wote. sasa angalia mafundisho haya na ujaji uislamu ukoje.

Watu wengi hawajui maana ya neno JIHADI wanatfusiri kama Holly war (vita vitakatifu au vita vya dini) katika qur an nzima neno holly war halijatumika mahali popote.
Maana halisi ya neno hili. JIHADI linatokana na neno la kliarabu JAHADA maana yake ni JUHUDI kufanya juhudi yoyote ile ni kufanya jihadi hata kama ni juhudi ktk elimu, kazini, kifamila n.k. Kunakijana alimfuata mtume akitaka kwenda kufanya jihadi akimaanisha kupigana vita lkn mtume alimuamuru kufanya jihadi iliyobora zaidi ni kusaidia na kumtendea yaliyomema mama yake mzazi.
 
Hakuna asiyejuwa kuwa kanisa siku zote ndio linaloanzisha udini Tanzania. Inawahusu nini wao siasa? Wakijibiwa, oooohhh nongwa, nyie wadini. Wakati wao ndi huanza kuchokonowa makusudi kabisa:

Kumbuka walicho kifanya Rwanda, tusiwape nafasi wakakileta Tanzania:

Haya Makanisa tuyaangalie sana, ndio chanzo cha chokochoko za umwagaji damu, hata Rwanda, kanisa lilikuwa ndio chanzo cha mauaji ya kimbari, soma:

Rwanda

Genocide and the role of the Church in Rwanda

What exactly was the role of the Catholic Church in the Rwandan
genocide? NDAHIRO TOM, a Rwandan human rights commissioner, paints a picture of deep historical and political complicity and calls for the Church to restore its credibility by contributing to the process of justice.

16 April 2005 - Ndahiro Tom (A Commissioner of Human Rights in Rwanda.)

Source: PAMBAZUKA
Pambazuka News

Why do they eat my people as they eat bread? (Psalm 14)

All over Rwandan hills, valleys and mountains, thousands of crosses
mark mass graves of genocide victims of 1994. During the genocide, many
Tutsis were massacred in or around places of worship, including Catholic churches – paradoxically, in a country which was the most Christianised in Africa, with Christians representing more than 80% of the population. Catholic bishops in Rwanda have sometimes claimed that all Rwandans believe in God. (Kinyamateka, No. 1614, January 2003, pg. 6) There are hundreds of churches and chapels everywhere and almost every day followers repeatedly recite the prayer, “Our Father who art in heaven”, pleading with the Father to deliver them from evil (Matthew 6:13). From where, then, did the malevolence at the root of the genocide come? How and by whom could it have been overcome? Part of the answer to these questions is the Church and its members.

According to Jean-Pierre Karegeye, a Jesuit priest, genocide is morally hideous, an evil expressed in forgetting God, and hence a new form of atheism. Karegeye asks several pertinent questions which merit consideration: “Christians killing other Christians? How could Rwandan
Christians who manifested commitment to their faith have acted with
such intense cruelty? How did ordinary people come to commit extraordinary evil…? Does the sin of genocide disturb the relationship between God and the perpetrators in official Catholic Church discourse? How can we explain the strange situation of priests involved in the crimes of genocide who are still running parishes in Western countries? Why are they protected by the Vatican against any legal proceedings?” He concludes: “The Church’s attitude towards genocide seems to suggest that the hierarchy of religious values is not usually in proportion to the hierarchy of moral standards.”

Generally, in Rwanda, the leadership of the Christian churches, especially that of the Catholic Church, played a central role in the creation and furtherance of racist ideology. They fostered a system which Europeans introduced and they encouraged. The building blocks of this ideology were numerous, but one can mention a few – first, the racist vision of Rwandan society that the missionaries and colonialists imposed by developing the thesis about which groups came first and last to populate the country (the Hamitic and Bantu myths); second, by rigidly controlling historical and anthropological research; third, by reconfiguring Rwandan society through the manipulation of ethnic identities (from their vague socio-political nature in the pre-colonial period, these identities gradually became racial). From the late 1950s, some concepts became distorted: thus democracy became numerical
democracy or demographic.

The philosophy of ‘rubanda nyamwinshi’ a Kinyarwanda expression, which
politically came to mean ‘the Hutu majority’, prevailed after the so-called social revolution of 1959 ignored the basic tenets of democracy. In my view, recurrent genocides in Rwanda since 1959 were meant to maintain the ‘Hutu majority’ in power, by killing the Tutsi. Distributive justice became equivalent to regional and ethnic quotas; and revolution came to mean legitimised genocide of the Tutsis.

Church authorities contributed to the spread of racist theories mainly
through the schools and seminaries over which they exercised control. The elite who ruled the country after independence trained in these schools. According to Church historian Paul Rutayisire, the stereotypes used by the Hutu-dominated Rwandan government to dehumanise Tutsis, were also spread by some influential clergymen, bishops and priests, before and after the genocide. The Catholic Church and colonial powers orked together in organizing racist political groups like the Party for the Emancipation of the Hutu (Parmehutu).

Mouvement Révolutionnaire National pour le Dévelopment (MRND) was the
party which in the mid-1970s had introduced and institutionalised policies of racial discrimination which they termed “équilibre éthnique et régional” (ethnic and regional equilibrium, a quota system). The Church fully supported the quota system, but on 30 April 1990, five Catholic priests from Nyundo diocese broke the silence. In a letter to the Church’s bishops in Rwanda, they called the quota system ‘racist’ and urged that it was high time “the Church of Jesus Christ established in Rwanda proclaimed aloud and tirelessly” to denounce it, since it constituted “an aberration” within their Church. They maintained that the only sure justice in schools and employment was the one which only took account of individual capacities, regardless of people's origins, and that it was on this condition that the country could have citizens capable of leading it with competence and equity.

In conclusion, they said: “The Church should not be the vassal of the scular powers, but it should be free to speak with sincerity and courage when it proves necessary.” The authors of this letter were Fr.Augustin Ntagara, Fr. Callixte Kalisa, Fr. Aloys Nzaramba, Fr. Jean Baptiste Hategeka, and Fr. Fabien Rwakareke. All but the last two were killed during the genocide.

Within the Catholic Church, this discriminatory policy had long been in the seminaries. According to Fr. Jean Ndolimana, the enrolment of Tutsis in the Nyundo diocese was limited to 4%. On the school card, very seminarian had to indicate his father’s ethnic group. Instead of condemning those who were against the racist system, instead of playing an important role in institutionalising injustice by convincing their congregants to accept a morally reprehensible policy, Church leaders should have spoken out against racist discrimination. Regrettably the Church took the side of the political regimes, and thus was unable to exercise its prophetic role. It did not denounce political and social injustices, nor did it condemn the first mass killings, nor those which followed.

It is difficult to describe the position taken by the institutional Church just before and during the genocide. It is appropriate to take note of a declaration made by some “Christians” who met in London in June 1996: “The church is sick. The historical roots of this sickness lie in part with the “mother churches”. She is facing the most serious crisis in her history. The church has failed in her mission, and lost her credibility, particularly since the genocide. She needs to repent before God and Rwandan society, and seek healing from God.” This diagnosis offers a good summary of the situation. The Church lacks a sense of remorse and therefore cannot repent; hence its active involvement, in my view, is the last stage of genocide – denial.

Twenty-nine Rwandan Catholic priests, from Goma, Zaire, wrote a letter to the Pope in August 1994, demanding that the Rwandan government hould allow all refugees home and then hold a referendum to determine the country’s political future. The authors of this letter had no good programme for the country. All they wanted was to hold in contempt the Pope’s acknowledgment of the genocide. As early as 15 May 1994, the Pope had declared that the massacres in Rwanda were indeed genocide.

The priests wrote to the Pope: “Everybody knows, except those who do not wish to know or understand it, that the massacres which took place in Rwanda are the result of the provocation of the Rwandese people by the RPF.” These priests, contaminated by the genocidal ideology, placed His Holiness the Pope in the category of “those who did not wish to know,” to cover up their own shortcomings and those of the government they served.

Accepting failure is a virtue. Even so, it is difficult for institutions like the Catholic Church that are known to command respect world wide – above all when such institutions, have been party to policies of racial iscrimination and genocide. The Church decided to adopt silence and slander as defence mechanisms. The question is why the Vatican has accepted or tolerated such tendencies.

The call for remorse and repentance still seems unnecessary and roblematical for the Catholic Church. In March 1996, Pope John Paul II told the Rwandan people, “The Church... cannot be held responsible for the guilt of its members that have acted against the evangelic law; they will be called to render account of their own actions. All Church members that have sinned during the genocide must have the courage to assume the consequences of their deeds they have done against God and fellow men.”

Had this been accepted and done, it would have helped to end a culture of impunity that has characterised Rwanda for more than thirty-five years. This could have been an established warning to anyone who harboured the archaic racist ideology. It could have acted as a deterrent to foreign mentors, warning that continuation of such politics contravenes the principle of natural justice and is liable to be punished by law. Thirdly, it offers the only premises on which durable reconciliation; rehabilitation and reconstruction could take place or be cemented.

I chose to write about the Catholic Church and the genocide in Rwanda because I would argue it was the only institution involved in all the stages of genocide. As a layperson, it is astounding to hear about the “love, truth and trust” that the Church has achieved in a country where genocide took more than a million lives in just a hundred days, and to see the institutional Church protecting, instead of punishing, or at least denouncing those among its leadership or in its membership who are accused of genocide.

There is no doubt that throughout the history of Rwanda, Church leaders have had ties with political power. The Church was also involved in the policy of ethnic division, which degenerated into ethnic hatred. In order to succeed in its mission of uniting people, the Church in Rwanda and elsewhere must examine its attitudes, practices, and policies that have too often encouraged ethnic
divisions.

Church leadership should both be on the side of and be perceived to be
on the side of justice and the victims of injustice rather than on the
side of genocide perpetrators and deniers. The Church must remember
what Dietrich Bonhoeffer said in his April 1933 essay, “The Church and
the Jewish Question”.

As he wrote, one way in which Churches could fight political injustices was to question state injustices and call the state to responsibility; another was to help the victims of injustice, whether they were church members or not. To bring an end to the machinery of injustice, he said, the Church was obliged not only to help the victims who had fallen under the wheel, but also to fall into the spokes of the wheel itself.

Since justice is an unavoidable integral element of the process of
reconciliation, the Church should be among those asking that the perpetrators of genocide be brought to justice. If the Church contributes to the process of justice, unity can be re-established among Rwandans, in general, and among Christians, in particular. It is the only way that the Church can restore its credibility, and thus be what it is called to be: a witness to faith, hope and love, to truth and justice. Only in this way will the Catholic Church in Rwanda be able to help save the people of Rwanda –all the people - from future suffering and bloodshed.

Source: Genocide and the role of the Church in Rwanda

Teh teh teh !!this is non sense!!
 
It seem you are not awere of history of Tanzania as far as the religous segregation is concerned.
 
newyorkermohammed.jpg

Teh teh teh!!!picha hii inafanana na magaidi wanaotafutwa!!!
 
Bwana mdogo kua uyaone, au kama unadhani umekua basi tembea uyaone. Hiyo Rwanda ulioishikia Bango hivi sasa inamwelekeo mzuri wa kiuchumi kuliko Tz ya ccm lakini Somalia tangu1990's hadi leo ni umwagaji damu na allahu akbar kwenda mbele!!. Vipi huko pakistan, Sudan, nigeria misri afighanstan nk? Kuna kanisa au sharia? Bwana mdogo kaa chini utafakari jibu utalipata, usikurupuke kuwakilisha hoja

Ila ukiangalia vizuri utaona kuwa machafuko ya nchi hizi yanatokana na kuingiliwa na nchi za magharibi, It is imperialism which dusturbs the political sturbility of thse countries!
 
Nenda kasome Deuteronomy 17:12 ,mnaouwa vibibi vikongwe ndio nyinyi bible inawambia hivyo ,embu kasome Exodus 22:17 NAB na huyo aliesema eti tusilete mambo ya kuuwana na kupiga mawe aende akasome Leviticus 20:13 NAB ,naona hadi leo hamjamuuwa Shee Yaaya si mnaambiwa muwauwe embu kasome Leviticus 20:27 NAB ,wakiristo kibao wanawapiga baba zao ,hao mmeambiwa muwauwe Exodus 21:15 NAB kama haitoshi ,nikiongezea All who curse their father or mother must be put to death. They are guilty of a capital offense. (Leviticus 20:9 NLT.

Na nyie msioijua dini yenu inasema hukumu gani fumbeni midomo yenu mkae kimya If a man commits adultery with another man's wife, both the man and the woman must be put to death. (Leviticus 20:10 NLT) ,Hapa Uislamu unakosa gani ukitekeleza hukumu hiyo ??? Mkiambiwa mnaburuzwa na mahubiri ya uongo mnapiga makelele ,ni wapi katika dunia hii hukumu hiyo Wakirsto mmeitekeleza >Mnaona kosa Waislamu wakitekeleza ?

Kubwa zaidi ni hili ambalo halimo katika dini yetu tukufu ya Uislamu pale msemamo kuwa wengine wote wasio sisi wanafaa kuuliwa embu soma uone ukatili ulio ndani yenu (Exodus 22:19 NAB)


Yaani wewe umebaki nyumaa mnooo! Wakristu wanafuata Agano Jipya la Biblia sio Agano la Kale. Agano Lipya ni lile lenye Injili na Nyaraka Mbalimbali. Yesu alituambia Yeye alikuja kutoa sadaka mpya, sio sadaka za zamani! Alikuja kuleta mabadiliko. Na tazama palikuwepo na mama mmoja alidaiwa kufanya uzinzi, basi wakawa wanataka kumuua kwa kumpiga mawe. Yesu alipokaribia ule umati wenye hasira, aliwatuliza na kisha akawaambia basi kama kuna mmoja wenu asiye na hatia awe wa kwanza kutupa jiwe. Wote walikimbia. Hayo ndiyo mahubiri ya Kanisa. Htupigi, hatuhukumu, tunasemeheana!
 
Udini hauwezi kuwepo bila kuwepo kwa dini mbili tofauti zinazovutana. Kule Rwanda wakatoliki walikuwa kwenye vita vya udini na dini gani? sijawahi kusikia kwamba kule rwanda kulikuwa ni vita ya ukristo na uislamu.

Katika masuala ya vita watu wenye dini wanakuwa na makabila yao pia. vita ya rwanda ilikuwa ya kabila baina ya watusi na wahutu.
 
Hakuna cha fitna ya mkristo wala mwislamu dhidi ya mwingine, tatizo ni kwamba Waislamu na wakristo hatujaamua kwa dhati kuishi pamoja kama watoto wa baba mmoja (Ibarahim) mama mbalimbali ( Sarah na Hajra). Wachungaji/mapadri na mashekh/Maimam wapo kwa ajili ya kuchonganisha dini hizi mbili kuliko kuzungumzia undugu wetu wa baba mmoja.

kati ya hizi dini mbili ipi ina somo linalozungumzia undugu wetu???? kosa la kujinasibu upande wa mama zetu (sarah na Hajra) badala ya baba yetu (ibraham) ndilo litatuangamiza sote hadi siku ya kiama.
 
Wakristo wengi wanaridhia kwa moyo mmoja kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi ndani ya taasisi za kiislamu kama moja ya imani yao.

Nimaamini wakristo wengi hawapingi ndugu zao waislamu kuwa na mahakama ya kadhi kwa sababu mahakama za dini ya kikristo zipo lakini ziko ndani ya kanisa hazihusiani na mahakama za kiraia. Mahakama hizi zinahusu maisha ya kila siku ya mkristo ikiwemo ndoa. Migogoro ya ndoa za kikristo inaanzia kwanza kanisani na kwa kuwa kanisa halivunji ndoa likishindwa wahusika wako huru kwenda mahakama ya kiraia lakini wakati huo hukumu ya kanisa inabaki palepale ndoa iliyounganishwa na Mungu (kitabu kitakatifu cha Mungu) binadamu haruhusiwi kuitenganisha.

Mkristo anaoa tena kwa mambo matatu, kifo cha mwanandoa mmoja, kichaa kwa mwandoa mmoja, uzinzi kwa mwanandoa mmoja japo hili linaombewa msamaha kwanza kama wanandoa watakubaliana.
 
Ila ukiangalia vizuri utaona kuwa machafuko ya nchi hizi yanatokana na kuingiliwa na nchi za magharibi, It is imperialism which dusturbs the political sturbility of thse countries!

Cheap Excuse!
 
Mwiba naona hujui tofauti ya dini na udini unachozungumza wewe ni mafundisho ya dini, tunachojadili hapa hatupingi dini ya mtu na mafundisho yake, dini zilikuwepo hata kabla ya Mwinyi tunachosema dini iwe na mipaka yake isingie sehemu isipotakiwa mafano serikalini dini iishie makanisani na misikitini ikitoka nje unakuwa udini, mfano wa ile mihadhara ya miaka 80s na 90s ile ilikuwa si dini ulikuwa mwanzo wa udini dini moja kutukana dini nyingine.

Kwa hiyo huyu aliyeleta post hii hapa JF ikiwa totally iko negatively to islams ni msikitini au kanisani-Hawa kama wee nd'o maana waliitwa na wataendelea kuitwa viziwi-mabubu na vipofu na hawasikii.
 
Matola ukitaka kuuongelea uislamu ni sharti uujue kwanza huo uislamu wenyewe sio unakurupuka na kuzungumza mambo usiyoyajua, huwezi kujaji uislamu kwa kuangalia Somalia na sudan tu. take effort ujifunze mambo kwanza uislamu unajemgwa na misingi mikuu miwili Qur an na Suna. Usijaji uislamu kuangalia wailamu wachache na huwezi kuuita uislamu ni ugaidi kwa kumuangalia Osana na Alqaida. Katika historia ya dunia mtu ambaye amua watu wengi dunia ni Adolf Hitler je dini yake tuiite ya kigaidi na Taifa liliua watu wengi duniani nia Marekani na wao tuwaite Magaidi wao na dini zao.

ukitaka kuasess dini angalia kwanza misingi yake mikuu siyo baadhi ya watu kwenye dini hiyo. yanayotokea somalia na sudan hata uislamu unayapinga.

Qur an inasema kuua mtu mmoja ni sawa na kuua ulimwengu mzima na kuokua maisha ya mtu mmoja ni sawa na kuokoa maisha ya walimwengu wote. sasa angalia mafundisho haya na ujaji uislamu ukoje.

Watu wengi hawajui maana ya neno JIHADI wanatfusiri kama Holly war (vita vitakatifu au vita vya dini) katika qur an nzima neno holly war halijatumika mahali popote.
Maana halisi ya neno hili. JIHADI linatokana na neno la kliarabu JAHADA maana yake ni JUHUDI kufanya juhudi yoyote ile ni kufanya jihadi hata kama ni juhudi ktk elimu, kazini, kifamila n.k. Kunakijana alimfuata mtume akitaka kwenda kufanya jihadi akimaanisha kupigana vita lkn mtume alimuamuru kufanya jihadi iliyobora zaidi ni kusaidia na kumtendea yaliyomema mama yake mzazi.

Mimi ni mkristo lakini wengi wetu humu ndani tungetumia lugha nzuri ya kuvunza kama wewe CR9 naamini tungejenga zaidi nchi yetu kuliko kubomoa. wewe ni mzalendo wa kuigwa na uendelee kuwa na moyo huo, Mungu akujalie..... mada za humo ndani zisijebadilisha msimamo/tabia yako.

Kila mmoja wetu angetumia fursa ya kufunza na kuelimisha wengine badala ya kutumia maneno makali dhidi ya dini ya mwingine sote tungebaki salama.
 
Jamani tuweni waelewa tukizungumzia swala la mahaka ya kazi, mi naona hata watu wenye status za juu ambao ni waelewa wanapoonekana hawaelewi hasa kwa mtu kama askofu.

Nchi kama nchi nyingi duniani zilivyo inaruhusu uhuru wa kuabudu dini au imani mtu anayotaka. kama ukiwa mkiristu utafuata bibilia na misingi mingine ya kikiristu na kuamini katika yesu.

mtu akiwa muislamu anatakiwa kufuata misingi yote ya kiislamu inayoongozwa na Qur-an takatifu na hadithi za Mtume Muhamad (SAW) na misingi mingine ikiwemo kuwepo kwa mahakama ya kadhi kusimamia utekelezaji wa maadili ya kiislamu, na huwezi kusema uhuru wa kuabudu wakati unamzuia kutekeleza dini yake ipasvyo, mahakama ya kadhi ni msingi muhimu ktk dini ya kiislam.

Mahakama hii inasimamia maadili ya kiislam na hakuna mkiristo yoyote atakayehusishwa na mahakama hii sasa wasiwasi wa wakiristo. kuzuia mahakama ya kadhi ni sawa na kuwanyima waislamu haki ya kutimiza dini yao na baadae wataanza kulaumu misikiti kujengwa.

Nani anaujua vizuri uislamu na misingi yake kati ya waislamu na wakiristo na nani anastahili kulizungumzia hili swala, nianavyo mimi wakiristo hawana uelewa mpana kuhusu misingi ya kiislamu likiwemo hili swala la mahakama ya kadhi.

Hivi Jamani issue ni kuanzishwa Mahakama ya Kadhi au ni kwamba kinachogomba ni mahakama hizo kuwa sehemu ya gharama za serikali. Nafikiri kama ni jambo la Imani ni haki ya waislamu kuanzisha mahakama ya kadhi na kama wanauwezo wa kuindesha kupitia sadaka zao na michango mingine hilo ni Jema lakini pale inapotakiwa Serikali kupitia kodi zetu kubeba gharama ya Mahakama ya Kadhi hapo ndiyo linapokuja tatizo. Ikumbukwe walipa kodi wengine ni Wapagani,wengine Waislamu na wengine Wakristu sasa iweje leo kwa nchi isiyokuwa na dini igharimie gharama za chombo cha imani ya dini kama mahakama ya kadhi? ili nini? kwa fedha kutoka wapi?

Nafikiri hoja siyo kuwa au kutokuwa na mahakama ya kadhi,you can go ahead na kuanzisha lakini jukumu la gharama mbaki nalo wenyewe wenye mahakama yenu full stop.
 
ccm inapaswa kulaumiwa na kulaaniwa kwa kupanda na kulea udini tanzania kwa kipindi cha miongo miwili sasa.kipindi cha mzee a hassan mwinyi vilizuka vikundi vya imani kali ya dini ya kiislam karibu mikoa yote tanzania bara na kazi yao kubwa ilikuwa kuutukana na kuhujumu ukristo.makanisa na shule za madhehebu ya kikiristo yalichomwa moto na kusababisha vifo[shauri tanga] na hasara kubwa ya mali na miundo mbinu.serekali iliunda tume kadhaa kwaajili ya kuudanya umma.

ndio maana mkapa nae alipoingia madarakani akaamua kulipiza kisasi kwa kuua waislamu wa kisiwa cha pemba na kuwafanya wengine kuwa wakimbizi mpaka leo huko mombasa na mogadishu!!!
 
Hivi "MEMORUNDUM OF UNDERSTANDING" baina ya serikali na Kanisa haikuwa ina UDINI? kwa nini wapendelewe WAKRISTO tu? Je, hii si DHULMA KWA WASIOKUWA WAKRISITO?. mbona hakuna MOU baina ya serikali na Waislamu?

Mi naona kikwete ni Muadilifu! na atakumbukwa kwa kuwa RAIS BORA kwa kuunganisha Watanzania.

WAISLAMU WANA HAKI YA KUISHITAKI SERIKALI ILI IWALIPE FIDIA KWA MUDA WOTE KANISA LIMENYONYA KODI ZA WANANCHI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom