hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 858
- 2,046
Habari wanajf.
Swala hili linaloendelea mitandaoni watu wakijaribu kulinganisha swala la bandari na udini na Ukanda linazidi kukua.
Likiwa kubwa litatoka kwenye mitandao litaanza kulitafuna taifa letu.
Nasema ni sumu Kali kwasababu halijawahi kutulizwa kirahisi likianza hasa kwenye nchi za Afrika.
Tujifunze kwa ndugu zetu Ethiopia na Kenya ambapo migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe havijawhi kukoma kwasababu ya udini , ukabila na Ukanda.
Kama sisi wenyewe ama serikali isipolizuia hili swala kuanzia kwenye mitandao ya kijamii naona mpasuko ukitokea na amani ikitoweka Tanzania
Ikumbukwe kuwa siri mojawapo ya amani tuliyonayo ni kutokuwepo kwa ukabila , Ukanda wala udini kwenye nchi yetu
Hivyo tuwe makini na kile tunachokifanya au kukizungumza kwenye mitandao ya kijamii kwani ni Jambo linalojenga chuki kidogo kidogo kwa wengi.
Naomba kuwasolishda