Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.

Join Date: Mon Jan 2010
Posts: 11
Thanks: 4
Thanked 4 Times in 4 Posts
Rep Power: 0

Kaazi kweli kweli, sio lazima uchangie au soma thread za kijinga kama unavyo dai. Sasa nani anaonekana mkinga?

Wabomoaji ni CCM ambao wanaedekeza udini
 
Wewe Maxshimba bila ya shaka yeyote utakuwa na matatizo hatuhitaji kwenda kwenye malumbano ya kidini hayo unayoyazungumza ni serikali ya awamu hii tu hebu jaribu kuangalia awamu zilizopita zilikuwaje achana unafiki
 
I don't think so. When Ben was a President, kulikuwa na fujo za mwembe chai, who caused it? MUSLEMS. When Ali was a President, there were issues with him, to the point ya kuwafanya Waislamu walete mtafaruki, akina Shehe Yahya Whosain na MaShehe 20 wakaswekwa rumande pale Central Police. Who are those? MUSLEMS.

Wanao taka OIC na Sharia ni WAISLAMU. Hivi kuna hata baya moja lilifanywa na Wakristo? Mbona sijasikia Wakristo wakiandamana kama ninyi? Anyway, the issue here is still the same, CCM inawakumbatia WAISLAM na kupigia debe udini. HIVI umesha sikia kuwa Chama kinacho ongoza nchi kusema na kutumia Mnajimu wa Kiislamu WHOSAIN, kutishia maisha ya watu, eti, mtu akigombea tu, atakufa? Hivi siku hizi Shehe-twain amesha kuwa Mungu?

Tukirudi nyuma zaidi kwenye awamu ya kwanza, Dr. Nyerere hakuwadekeza Waislamu, walipewa vidonge vyao sawa sawa na ndio maana walikuwa kimya kama maji ya mtunguni. Alipo kuja Ali, basi, vurumai na mijadala ya kidini ilianza. Wadini ndio WAISLAMU.
 
mjinga mtamtambua kwa maneno yake !!
 
Wewe Maxshimba bila ya shaka yeyote utakuwa na matatizo hatuhitaji kwenda kwenye malumbano ya kidini hayo unayoyazungumza ni serikali ya awamu hii tu hebu jaribu kuangalia awamu zilizopita zilikuwaje achana unafiki

Kwa hiyo serikali ya Kikwete inalipiza kisasi kwa yaliyopita?
 
Kwa kuendekeza udini .... yaani umepigia msitari kinachoongelewa hapa ila tu umejaribu kukitafutia sababu.

Kuondoa udini uliokuwepo na kuweka haki isimame period! mliozoea kupendelewa kwa ajili ya dini zenu ..mtachonga sana miaka hii
 
Is this intelligence ?
wakuu wa hiki kituo anzesheni sehemu ambako mada yeyote yenye neno dini itatupwa huko. Ikiwezekana ianzishwe pia labda ya ya ukabila.
 
ndiyo maana serikali ya jamaa haijawa stable, hii ni kutokana kuwa na wana madrasa wengi mno kuliko wana sande skuu, maana uwezo wa mwana madrasa huwa ni kukariri zaidi kuliko
kusoma alama za nyakati na kitoa ufumbuzi wa tatizo,
 
ccm is not a proffesional job most of those where from no where look how makamba was able to build up him self to the top level
 
Web master taf, ondoa ujinga huu wa uchochezi. Forum hii si kwa ajili. Hii siyo forum ya kuleta chokochoko.
 
Ukiona watu wameanza kuingia kwenye imani za dini na siasa, huu ndio mwanza wa fujo. Tafadhalini waungwana acheni huu ni ujinga. Na inawezekana mnadhani mmesoma kwa ku ingiza hoja hizi. Ila ukweli mmepotoka
 
ndiyo maana serikali ya jamaa haijawa stable, hii ni kutokana kuwa na wana madrasa wengi mno kuliko wana sande skuu, maana uwezo wa mwana madrasa huwa ni kukariri zaidi kuliko
kusoma alama za nyakati na kitoa ufumbuzi wa tatizo,

Acha bias wewe, intelligence capacity ya mtu haipimwi kwa kua dini fulani,dini pia haihusiani na uwezo wa mtu kutawala,hivi mbona una mawazo ya kibaguzi namna hiyo?jee unataka kutuambia wana sande skul ndio wenye uwezo wa kutawala na wale wa madrasa ni mbumbumbu, watu wa kukariri na vilaza???unapotosha maana ya jamvi hili kuitwa home of great thinker..............
 
Prove it please
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…