Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.


Its not gonna do any better by ur insults to others , just wasting your calories and making your morning worse ! Air points nicely !" A PIECE OF ADVICE !!!"
 
unayefikiria udini, basi huyo ni mdini, na hawezi fanya mambo ya msingi kama ataendekeza fikra za kidini.
 

Mkuu una uhakika na hayo unayoyasema, haswa niliyo-Bold, hii naona ni insult kwa wanaotumia msikiti, ina maana enzi za mkapa, lowassa, etc pia walikuwa wanashinda kanisani?
 

mkuu Wabero..Hii haipingani na hoja yako?
 
Hatujali dini ya mtu, hata woote wawe wa dini moja! lakini cha msingi ni kufanya kazi ipasavyo na kwa haki. (siyo sheria, maana haki nasheria nivitu tofauti wakati mwingine). Mtu akichemka tukimgundua asije akasema ooh kwa sababu mie dini fulani ndiyo maana unaandamwa. Hapana, tutakuumbua hadi ukimbie nafasi hiyo uwape wengine bila kujali dini zao pia!
Ila tu kitu kibaya ni kwamba watu wengine wakipata madaraka basi wao Dini kwanza, Tanzania baadae..hao ndiyo maadui wetu wakubwa! wasipewe nafasi!
Cha maana ni kufikiri utaifa wetu kwanza, na Mwenyezi Mungu atatupenda.
 
Naona mafisadi wamewateka hadi mnasahau mambo ya kuzungumza na kukimbilia udini,acheni hizo.Tunatakiwa kupambana na mafisadi wawe dagaa au mkunga ili nchi yetu isitafunwe kizembe,au ndio uchaguzi mkuu wa 2010 umekaribia na tayari mmeshaanza kupata vipromise?
 
Hakuna cha ujuzi wala nini.tunachojua ni kuwa waislam(hasa wa tanzania) hawapendi shida wanapenda zoga zaidi.hawataki kutumia akili kutafuta mkate wa kila siku bali bla blaaaaaaa.ndo maana wameingia katika siasa ambazo ni bla blaaa.ie ccm(chama cha majangili).hivi sasa nchi hii inamezwa na hii mijitu mivivu isyotaka kujishughulisha.every angle sasa waislamu tupu
 
Inaonyesha bwana akilisana unachuki na hawa jamaa,kwani wamekunyima nini?Mbona mimi ni mkristo na maisha yangu yapo poa sana?Kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayoyakumba akina YONA,MRAMBA,MGONJA,LIUMBA, KWEKA na wengineo,je hao nao waislam?Hawa wamebunya mapesa ya TZ kwa miaka mingi mbona huna mchango wowote wa kuwabana?Nawashauri wana JF tuwe macho na akina akilisana inawezekana akili zao zimezidi mno hata kusahau kufikiri tumetoka wapi na tunakwenda wapi.Ama kweli nimeamini "SHETANI AKIZEEKA HUJIFANYA MALAIKA"Mungu ibariki JF mungu ibariki Tanzania.
 

You are right! lakini kwenye dunia hii ya utandawazi, only fits will survive! makampuni yanayokuja kutoka nje hayachagui dini, wala maskini -uwezo, so wakati wanahanngaika wachukue madaraka kindly wewe na vizazi vyako kazana ku-thinki big after all, umeona Amosam anasemaje? we also need to be blamed because we have no excpetional to be blamed, afadhali


You are 100% right, I am christian-wakristo hawajafanya jipya au la maana ndani ya CCM au serikali hii, so isiwe haki sawa then wakipewa wanaiba 'kizungu' kiakili hawa ni wabaya kuliko hao wasiosoma na wako madarakani!

after all hainisumbui kama waislamu wote watakuwa viongozi, ilimradi wanipe haki yangu, niabudu, nipige kazi n.k wakristo mkiwaza mbali mtaona tuendako wenye elimu tu watasurvive-sina muda wa kushindana na waislamu ambao hawana hata secondary moja inayofanya vizuri nchi hii katika hii karne ya 21, why bothered???
 
This is soo ridiculous.. there is no wakristo na waislamu.. Mambo yadini jiandaeni kufa na huko mnaweza kukuta hao mnaowaabudu hawapo wala nini... Tanzania haiwezi kisaidiwa na dini hata kidogo..
 
Historically ccm ilianzishwa na waislam wakina julius nyerere waliitwa baadae kujiunga na chama, kumbuka ni waislam wliopigania uhuru wa nchi hii wakati huo wakristo wengi walikua wanawakumbatia wakoloni.

Pia muelewe kua waislam ndo majority hapa nchini, kwaiyo nilazima wawe wengi ccm na vyama vyengine.

Swali muhimu ni kwanini waislam wako wachache serikalini ?, sio kwa nini wako wengi ccm, they are majority anyway!

Equal opportunity ingekuwepo hapa nchini, waislam walitakiwa wawe wengi sio ccm pekee pia serikalini
 
mkuu Wabero..Hii haipingani na hoja yako?

Mkuu nina bahati mbaya napenda kuongelea ukweli hata kama mimi mwenyewe unaniumiza! hakuna dini yoyote katika sayari hii inayoongoza kuhubiri -udini popote pale na kwa njia yeyote ile kama waislamu! Tz waislam ndio wanaongoza kuwasema vibaya wakristo. au unafikiri why 75%??

hata hivyo hii sio hoja ni taarifa unaweza ukakataa au kukubali, kwani kukataa kwako au kukubali hakutafuta ukweli au uongo.

so be happy I was refering to cuf and ccm, na sio walio je ya hapo ila kwa sababu zile zile , uko sensitive mno na dini kiasi cha kuwa unaona kila linaposemwa neno msikiti basi unajua na wewe humo! soma tena! CUF wamekuwa wanahubiri udini mpaka unaogopa!

mikutano yote ya CUF ukihudhuria kuna takbir zinapigwa hili nalo haulijui?? sasa kama mna umoja, mumpinge Kikwete mtaanzia wapi after all 75% ndani ya ccm ni nyie wenyewe ??

Hii ndio imeua CUF, rais angekuwa mkristo mama yangu ungesikia mambo!

hebu nipishe mie, sitaki kujadili haya mambo haya after all shemeji zangu, majirani zangu, marafiki zangu wote ni waislamu! tunapiga kitimoto pamoja na maisha yanaendelea wenye dini wako mashariki ya kati na Roma wengine tumeparamia tu ndio maana unakuta akina Hamis hafanyi swala tano wala hajui kusoma quran, utakuta akina John haendi kanisani mpaka x-mass! then tupiganie nini??

ukitaka dini kaa chini mwache baba yako na mama yako tafuta ukweli mwenyewe mimi nilifanya hiyo assignment na kukuta ukweli uko ndani ya biblia wala sio makanisani! kazi kwako!
 



Ni bla blaaaa za Waislam ndio zilizoendela kuleta uhuru hapa TZ wakati huo nyie Mmefubishwa akili na wakoloni.

Nyerere alivamia wagon baadae akaachiwa nchi miaka 23 akawajaza wenzake as result, Nchi ikawa na njaa, hakuna hata Basic needs nchini, Alivyo ondoka Al Haji Mwinyi akaleta Vision Mpya ndio leo hii atleast wananchi wanapata Basic need, mult-political parties, na wewe umekua na uhuru wakuongea unachoongea
 
tuache kujadili hii ishu, wadau, hata wakiwa 100%, Watanzania tutapigana kwa tofauti kati ya tajiri na maskini, dini hisia tu...
 
CCM si Chama cha kidini ila kinabanwa mbavu na mafisadi kiasi kwamba wapiga kura wanakosa uhuru wa kuwachagua viongozi kwa ridhaa yao wenyewe bali kwa msukumo wa fedha.
 
kuna sumu kwenye vichwa vya WATANZANIA
kama haitatapishwa basi vichwa vitaumuka na KAZI IPO
 

Katika waliiongea, mkuu UMESEMA. Naomba na wengine wakusome wakiwa huru kabisa kimawazo, huru! watakuelewa, umetoa ujumbe mzito!
 

mkuu nilitaka kukumbusha tu, mijadala kama hii huwa ni sensitive na usiwaingize wasiokuwemo, vinginevyo unawachokoza, ungezungumzia hao ccm na cuf bila kuhusisha nyumba za ibada, ww ni mkiristo mimi sipo upande wowote ila kama tunataka kujadili kwa manufaa ya nchi yetu usiwachokoze wanadini waache wapambane katika viwanja vyao!
kiongozi ni uadilifu wa mtu binafsi bila kuangalia ni dini gani, wapo viongozi wazuri waislam, wapo viongozi wabaya wakristo hapo utasemaje?

mimi nina ndugu na marafiki waislam na pombe kama kawaida, nina ndugu zangu walokole uzinifu umewatawala, lakini hayo ni too personal ninaaamini dini yao haiwafundishi hivyo.

tunahitaji viongozi waadilifu na wachapa kazi bila kuangalia kabila wala dini yao, tuliishakosea toka nyuma, faida ni kuwa na viongozi mafisadi hawana wito na kazi yao, yatupasa kubadilika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…