nikiwa kwenye "kitchen party" ilizuka debate kubwa ya kwamba mzee mwanakijiji ni mbaguzi, wa kidini na kikabila! I said wait a minute nikatega sikio vizuri. Mwisho wa siku baada ya hoja kupigwa in and out kina mama wakapiga kura na kuconculde kuwa kwa mwenendo wa maandiko yako kwenye vijiwe mbalimbali mwanakijiji ni mbaguzi wa kidini, then inafuatiwa na kikabila. Eti wewe ni mtu wa musoma na huwa unawabagua wasio wa musoma! yangu yakawa macho tu kwani sikua nimewahi kusoma maandiko yako mengi before. Sijui hili lina ukweli mzee mwanakijiji au walikuwa wanakuzulia tu hawa kinamama wenzangu?
Mama.. rekodi yangu iko wazi inaangaliwa. Naupinga ubaguzi wa aina yoyote ile. Angalia mada yangu ya Temu na Wabaguzi mambo leo, nimewapinga wanaokuja na hisia za kibaguzi na dini n.k Mara nyingi ninachoonesha ni absurdity of such assertions. The threshold of tribalism, racism, and udini is very high to the point that it is almost impossible without an empirical study to come to a meaningful conclusion.
Mtu akija na kuniambia nimeenda ofisi moja na kuwakuta kwenye kitengo kimoja kuna Wazaramo tisa kati ya watu 20 wanaofanya kazi hapo (almost half) na hivyo kuna ukabila wa kupendelewa wazaramu, mimi sitodandia hoja hiyo kwa haraka hivyo. Nitauliza umejuaje ni ukabila? Je kuwa na namba ya watu wa aina moja ya mtazamo, imani, rangi. n.k ina maana ni ukabila au ubaguzi? Is there any logical explanation ya kile ulichokiona?
Sasa kuna watu hapa ambao wakisia kuna wachagga 10 kwenye makao makuu ya mkoa fulani wao hawaulizi "how" or "what happened" au "is there a logical explanation of such a reality". Hapana, wao watakimbilia na kusema "you see mkoa ule una ubaguzi sana na ukabila"!
Hiki ndicho ambacho nakiangalia kwa ukaribu sana. Sasa kama watu wananihukumu pasipo kukaa chini kufikiria mimi sina tatizo, namba yangu na email zangu ziko hadharani, na mtu akitaka kukutana na mimi anaweza. I can defend my position anywhere in the world endapo inapasa. But I'll never defend myself kwa mtu yeyote anayetoa charges dhidi yangu, for my record is open to scrutiny.
Hata hivyo, nitaendelea kuwapinga wanaoeneza uvumi wa udini na ukabila kwa namna yoyote ile hata by using socratic methods of teaching. Lakini kwa vile watu wanaangalia ninachoandika wakiwa na preconceived idea juu yangu ni vigumu kushinda hicho kizuizi cha kiakili na kunipa a fair hearing of my arguments.
But hey.. that is the world I have chosen to live in and willingly I'm ready to live in. So watumie salamu wenzako... I've never bowed to no one. Kwa hiyo wana uhuru wa kusema lolote.