Mkuu,
Hakika nakuunga mkono juu ya huyu jirani yetu Kagame, tena asituchezee. Kwa niijuavyo TISS ya sasa, ndani ya muda mfupi kabisa wataweza kupenyeza na hata kuingia sehemu nyeti za Rwanda na kujua mbinu na mipango yao yote kisha kutoa ramani ya jinsi ya kuimaliza Rwanda.
Japo najua ikianza vita, Kagame ataimulika zaidi Mwanza kwanza na kuisambaratisha. Hatoweza kufika Dodoma wala Dar...hawezi. Ila Mwanza najua itajirudia kama ilivyokuwa target ya Amin Dada.
Usiwe na shaka hata mwanza hakanyagi, ni weupe kabisa hao yeye na mseveni. Mm nashauri tuwapuuze hao na wakijidanganya kuwa wao ndio miamba ya afrika mashariki wajaribu waone. Wao wanadhani joto la kisiasa nchini linatutenganisha thubutu, tu wamoja kwa manyang'au wote wa nje.halafu watanzania mnamsifia kagame eti ni mwamba hana lolote atashikwa hukohuko kwake,
Niwe mtusi au muhutu nyanyueni pua ndan ya rwanda muone kama hamtatafuta hifadhi baharini,njaa zinawasumbua,udini,ukabila,siasa chafu,budget ya Tanzania kwa hisan ya Marekani.,Nyie watusi mnaoingia na mifugo kule Mpanda mkishapata kadi za kupigia kura tu basi mnaanza kutusumbua
Kagame 2017 alisema hatagombea tena urais,Kikwete ni janga kuu anamambo kibao yamemshinda anajifanya kiranja wa EA wakati ndie rais mbovu Africa hakuna...
Nasubiri Rwanda ivamie Tanzania nijiunge upande wa waasi kumng'oa Dhaifu alieacha bembea st.mary akaenda kubembea ulaya..Ha ha ha ha!Hivi mnajua kwamba Kagame tayari ana majasusi wake ndani ya Tanzania?Hakuna jambo ambalo Watanzania tutalifanya na Kagame asijue,Tuko uchi kabisa kwa Kagame,Anatujua nje ndani kuhusu mambo nyeti ya Nchi yetu.Tatizo letu Watanzania bado tunafikiria vita vya kizamani!!??Kagame anaweza kutuangamiza kirahisi kwa kutumia mgawanyiko wetu wa kiitikadi na kisiasa kuiondoa Serikali iliyoko madarakani na wengi wetu tunaouchukia utawala wa CCM tukajikuta tunawaunga mkono Rwanda na kumuondoa Kikwete madarakani.
Niwe mtusi au muhutu nyanyueni pua ndan ya rwanda muone kama hamtatafuta hifadhi baharini,njaa zinawasumbua,udini,ukabila,siasa chafu,budget ya Tanzania kwa hisan ya Marekani.,
Akimbie kwa kipi wakati warwanda wanamkubali,nchi imeendelea huwez ifananisha na burundi wala tanzania.Akitoka kwenye urais itabidi akimbilie Uganda ukajifiche kwa shemeji yake Museveni.
Nasubiri Rwanda ivamie Tanzania nijiunge upande wa waasi kumng'oa Dhaifu alieacha bembea st.mary akaenda kubembea ulaya..
Akimbie kwa kipi wakati warwanda wanamkubali,nchi imeendelea huwez ifananisha na burundi wala tanzania.
Wewe umejuaje kama hujalala na hata mm wako,huwez sema flani ni mchawi kama na wewe sio mchawi,maendeleo ni zaidi ya tantalila,tanzania imepishana kidogo na somalia viriba vya tumbo viko vingi..Hehehe naona umeamua ku come clean.
Nilijua tu wewe sio mtanzania. Mimi Wanywarwanda nimesoma nao shule ya msingi na sekondari kwahiyo nyie hamnipi tabu kabisa na tabia zenu chafu za kulala na ndugu zenu wa karibu ooops sorry.
Rais Dikteta Kagame wa Rwanda ameanza chokochoko kama zile allizofanya Dada Amini miaka ya mwishoni mwa sabini,Amini alianza kwa kurusha madongo kwa Mwalimu kama anavyofanya Dikteta Kagame,Kagame ameenda mbali na kumuita Rais wetu mjinga kwa ushauri wa kizalendo alioutoa Jakaya Kikwete,Kagame tunajua uporaji unaouganya Kongo,usithubutu kutuchezea tutakupa kichapo ambacho dunia itajua Tanzania sio nchi ya kuchezea
Jeshi la Rwanda ni mchanganyiko wa hutu na tutsi,ila la bongo wakristo wengi kuliko muslim kwa hili Nigeria hiyo..Watusi wenzake wanamkubali ndio sijakataa.
Wewe umejuaje kama hujalala na hata mm wako,huwez sema flani ni mchawi kama na wewe sio mchawi,maendeleo ni zaidi ya tantalila,tanzania imepishana kidogo na somalia viriba vya tumbo viko vingi..
Na hili la kwenda Canada kupanda farasi wakati ccp wapo,chang'ombe wapo naona Jamaica imekuwa mtwara..Jiografia yako ina walakin Jamaica haipo Ulaya, pole sana.
Rais Dikteta Kagame wa Rwanda ameanza chokochoko kama zile allizofanya Dada Amini miaka ya mwishoni mwa sabini,Amini alianza kwa kurusha madongo kwa Mwalimu kama anavyofanya Dikteta Kagame,Kagame ameenda mbali na kumuita Rais wetu mjinga kwa ushauri wa kizalendo alioutoa Jakaya Kikwete,Kagame tunajua uporaji unaouganya Kongo,usithubutu kutuchezea tutakupa kichapo ambacho dunia itajua Tanzania sio nchi ya kuchezea
BRIGEDI MOJA INATOSHA SANA KUFUNGA HISTORIA YA KAGAME.Uwezo wa kumpiga tunao ila nia bado hatujawa nayo.Angekuwa na ALMASI tunge mwibukia fasta mno.Sasa hivi hatupigani vita visivyo na masilahi.
Mburula wee, si unakumbuka iddi amina alivyoleta fyeko tulimkung'uta hadi akakimbia nchi jwtz wakaingia kampala. Bahati mbaya msafara wa mamba na kenge wanakuepo kwa hivyo tukambeba museveni na watutsi wenzake kuitwaa uganda na baadae rwanda.Kagame yupo sahihi,mnajitutumua na vita wakati mnaishi chini ya dola,mwambien Dr.Dhaifu aguse pale kama hatapasuka..