Pamoja na hayo inabidi watanzania tukubali tu kwamba Kikwete ni rais wa hovyo asiyejua mahusiano mema na nchi jirani. Alichobakiza ni kuwalipua kwa mabomu wapinzani nchini kwake na kutembeza bakuli la ombaomba nchi za nje. Ni vema amalize muda wake aishie, asije akaiingiza nchi yetu katika balaa!!