Udikteta wa Kagame usithubutu kuichezea Tanzania

Udikteta wa Kagame usithubutu kuichezea Tanzania

Status
Not open for further replies.

kingukitano

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,971
Reaction score
497
Rais Dikteta Kagame wa Rwanda ameanza chokochoko kama zile allizofanya Dada Amini miaka ya mwishoni mwa sabini,Amini alianza kwa kurusha madongo kwa Mwalimu kama anavyofanya Dikteta Kagame,Kagame ameenda mbali na kumuita Rais wetu mjinga kwa ushauri wa kizalendo alioutoa Jakaya Kikwete,Kagame tunajua uporaji unaouganya Kongo,usithubutu kutuchezea tutakupa kichapo ambacho dunia itajua Tanzania sio nchi ya kuchezea
 
Mkuu,
Hakika nakuunga mkono juu ya huyu jirani yetu Kagame, tena asituchezee. Kwa niijuavyo TISS ya sasa, ndani ya muda mfupi kabisa wataweza kupenyeza na hata kuingia sehemu nyeti za Rwanda na kujua mbinu na mipango yao yote kisha kutoa ramani ya jinsi ya kuimaliza Rwanda.
Japo najua ikianza vita, Kagame ataimulika zaidi Mwanza kwanza na kuisambaratisha. Hatoweza kufika Dodoma wala Dar...hawezi. Ila Mwanza najua itajirudia kama ilivyokuwa target ya Amin Dada.
 
Usiwe na shaka hata mwanza hakanyagi, ni weupe kabisa hao yeye na mseveni. Mm nashauri tuwapuuze hao na wakijidanganya kuwa wao ndio miamba ya afrika mashariki wajaribu waone. Wao wanadhani joto la kisiasa nchini linatutenganisha thubutu, tu wamoja kwa manyang'au wote wa nje.halafu watanzania mnamsifia kagame eti ni mwamba hana lolote atashikwa hukohuko kwake,
 
Huyu jamaa anafaa tumpige haraka. Uwezo tunao na nia tunayo. Ni mtu hatari. Hana hata haya. Mwizi mkubwa tena Mbulula.
 
Kagame yupo sahihi,mnajitutumua na vita wakati mnaishi chini ya dola,mwambien Dr.Dhaifu aguse pale kama hatapasuka..
 
Ngoja kwanza tuishike vizuri mashariki ya congo iwe chini yetu!! Rwanda itakuwa kati, burundi yeye ni mwenzetu hawezi kufurukuta, tutamwachia eneo dogo la kutorokea kwa M7 basi. Huku kwingine tutafanya tunavyotaka!!
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa pale wajinga wajinga wa nje wanapomtukana rais basi na sisi wananchi tupaze sauti kwa sauti kuonesha tu wamoja na kuitetea nchi yetu ....kisha tukimaliza tunajifungia ndani wenyewe na kuanza kukosoana na kurekebishana kimya kimya bila kumpa faida adui
 
BRIGEDI MOJA INATOSHA SANA KUFUNGA HISTORIA YA KAGAME.Uwezo wa kumpiga tunao ila nia bado hatujawa nayo.Angekuwa na ALMASI tunge mwibukia fasta mno.Sasa hivi hatupigani vita visivyo na masilahi.
 
Tanzania tupo bize tunajenga nchi yetu.

Barabara za lami kila kona, miradi mikubwa ya maji Lake Victoria, Bomba la gesi Mtwara hadi Dsm, tumegundua Uranium, tuna makaa ya mawe ya kutosha kutengeneza umeme, Bandari ya Bagamoyo, Bandari ya Tanga, Bandari ya Mtwara nayo inafufuka. Soon tutaanza kuuza gesi kwa jirani zetu kutokea Mtwara. Barabara za Dar zinafanyiwa marekebisho, Mradi wa magari yaendayo haraka, Hospitali kubwa ya rufaa kujengwa Luguruni n.k

Mi naona Kagame anatupotezea muda tuweke focus yetu kwenye kukamilisha hii miradi.
 
Kagame yupo sahihi,mnajitutumua na vita wakati mnaishi chini ya dola,mwambien Dr.Dhaifu aguse pale kama hatapasuka..

Mwambie Kagame wako tukutane Congo DRC hehehe

Si unajua na sisi tumekuwa na akili kama wamarekani hatupigani vita Dodoma , Kagera wala Mwanza tunaenda kwenye viwanja vya watu. mwambie aje kule kwa kutumia vijana wake wa M23.
 
Mkuu Rock City TISS ya sasa ipo kwaajili ya kungoa meno bila ganzi wanaopinga serekali.

Mkuu,
Hakika nakuunga mkono juu ya huyu jirani yetu Kagame, tena asituchezee. Kwa niijuavyo TISS ya sasa, ndani ya muda mfupi kabisa wataweza kupenyeza na hata kuingia sehemu nyeti za Rwanda na kujua mbinu na mipango yao yote kisha kutoa ramani ya jinsi ya kuimaliza Rwanda.
Japo najua ikianza vita, Kagame ataimulika zaidi Mwanza kwanza na kuisambaratisha. Hatoweza kufika Dodoma wala Dar...hawezi. Ila Mwanza najua itajirudia kama ilivyokuwa target ya Amin Dada.
 
Last edited by a moderator:
Kagame yupo sahihi,mnajitutumua na vita wakati mnaishi chini ya dola,mwambien Dr.Dhaifu aguse pale kama hatapasuka..

Amiri jeshi atakayeamrisha vita hivi atakwenda yeye.Mnajua uwezo wa Rwanda ki-silaha??? au mnapima kina cha maji kwa kijiti??? usiombe vita, nchi yetu kwa sasa hatuna umoja wa kuweza kupigana vita, kwanza polisi hawana mahusiano na raia, utategemea leo watanzania watoe michango kwa ajili ya vita??? Naona wengi mnashabikia hamjui madhara ya vita, vita vya mwaka 1979 wakazi wa kanda ya ziwa mashahidi, tulipata mateso tulitakiwa kuchanga kila kaya ng'ombe mmoja, wenye mabasi ilibidi mabasi yasafirishe wanajeshi, wenye vituo vya mafuta walitakiwa kutoa mafuta bure.

Kama watanzania tumesahau, mimi nitawashangaa.Ni gharama ndogo kujenga mahusiano na Rwanda kuliko gharama ya kupigana vita.Mshishabikie kabisa.
 
Mimi nashangaa sana wanaofananisha Kikwete na Kagame.

Kagame unaweza kumfananisha na Museveni sio Jk. Sisi tunafahamu JK muda wake unaisha mwaka 2015 nani anajua Kagame anamaliza lini muda wake?
 
Hamna haja ya michango wewe hayo mambo yamepitwa na wakati.
 
Mods kuna haja ya kuangalia kwa makini watu wanaoanzisha threads za aina hii. Kwa maoni yangu JF isigeuzwe jukwaa la propaganda za wahutu na watutsi. Akina Mtikila watafute jukwaa jingine kuwashambulia watutsi!

Watanzania tuna mambo mengi na ya msingi kujadili siyo tuanze kushabikia uchochezi wa chuki wakati sisi wenyewe sumu ya udini,ukabila na ufisadi ikilipasua taifa.
 
Mwambie Kagame wako tukutane Congo DRC hehehe

Si unajua na sisi tumekuwa na akili kama wamarekani hatupigani vita Dodoma , Kagera wala Mwanza tunaenda kwenye viwanja vya watu. mwambie aje kule kwa kutumia vijana wake wa M23.
Wewe unaejitutumua kuivamia Rwanda jaribuni basi muone,Dr.Dhaifu kambwela kuongelea dongo alilopigwa na Kagame..
 
Tupo congo sasa hakuna kelele za m23 wala kagame. Congo i tuli kabisa watu wanakula maisha kwa raha zao, tulienda darful wananchi walifurahi ile mbaya. Sembuse huyu bwana mdogo kagame. Tutamchomoa bafuni kwake bila hata mkewe kujua halafu tuta....... Asilete upuuzi. Museveni yeye tumbo moto sasa uasi unakaribia kwake atakuja kuomba msaada kwetu.
 
Wewe unaejitutumua kuivamia Rwanda jaribuni basi muone,Dr.Dhaifu kambwela kuongelea dongo alilopigwa na Kagame..

Nyie watusi mnaoingia na mifugo kule Mpanda mkishapata kadi za kupigia kura tu basi mnaanza kutusumbua
 
Mimi nashangaa sana wanaofananisha Kikwete na Kagame.

Kagame unaweza kumfananisha na Museveni sio Jk. Sisi tunafahamu JK muda wake unaisha mwaka 2015 nani anajua Kagame anamaliza lini muda wake?
Kagame 2017 alisema hatagombea tena urais,Kikwete ni janga kuu anamambo kibao yamemshinda anajifanya kiranja wa EA wakati ndie rais mbovu Africa hakuna...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom