chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Huyu mambo anayofanya hata siyaelewi, juzi mwandosya amesema kila mkoa wanatakiwa wadhamini 30 tu, sasa hayo maelfu ni mbwembwe tu, ili kutisha watu kuwa si mnaona jinsi ninavyokubarika? ole wenu mnikate!! Ila hadi sasa Steringi ameshauawa, hayo ni mateke ya mwisho dying horse!!! likikupata tu, na sasa baada ya jana jaji kuchukua fomu hali ya kambi ni tete sana,
Dogo kwanini usiende kulalal kuliko kuwasumbua Watanzania? km mpaka leo hujaona kosa la FISADI EL tulia subiri mchakato wa Wataalam watakapochuja jina lake ili kuelekea CC-CCM, akifika hapa bahati yake CC-NECKwani kuna kosa gani? Enyi watu mnaokaa na kumpinga EL kwa kila jambo, Ebu tupeni ushahidi kamili bila kupepesa macho kuhusu ufisadi mnaousema, Pia mtuambie kati ya wote walioomba nia kupitia CCM, nani asiye na kashfa na kawafanyia nini kizuri watanzania, Tuache unafiki na uzandiki!
Dogo kwanini usiende kulalal kuliko kuwasumbua Watanzania? km mpaka leo hujaona kosa la FISADI EL tulia subiri mchakato wa Wataalam watakapochuja jina lake ili kuelekea CC-CCM, akifika hapa bahati yake CC-NEC
Lakini ni juha usipobaini ni kwanini gharama za Tanesco zilivyopanda kwenye Nchi yenye vyanzo vyote ya umeme wa bure (iliizia Symbion wamekuja badala ya nani ? na )
pia ni UJUHA kutumia mitandao na kutobaini kwanini Vocha za Vodacom na mitandao mingine inatuibia na kutupa 8Mb wakati nchi nyingine hii vitu ni bure Ulizia Alphatel ni ya Nani)
(tuachieni CCM yetu ninyi kaendelezeni biashara zenu kwani kabla ya kujiunga na CCM mlikuwa hamna kitu By Makongoro JK)
Kumbe kuna jaji nachukua form nilikuwa village ndo naingia jf ss hivi
au ndio anakitangaza chama chake kipya atakachojiunga nacho hivi karibuni ?
Jiandaeni kumrudishia pesa zake anazowapa maana jina lake huyo fisadi Lowasa halipi ng'o. Nyie kuleni tu hizo pesa zake atakuja kuwarudi, shauri yenu. After all ikulu siyo wodi ya kulaza wagonjwa kama Lowasa. Aendelee tu na safari zake za Ujerumani.Huyo Jaji hata ukimuweka na Esther Bulaya anapigwa asubui na mapema..... Wanasumbuka sana kumzuia Edo ila wameshindwa..... Leo nimeona wanajadiliana kuhusu Jaji walitegemea ataleta impact kumbe hakuna kitu
Sasa kwa nini anunulie watu kadi halafu afoji terehe ya kujiunga.Fom zinatangulia ,we hujui hilo,?ni utaratibu wa kawaida tu,wagombea wote wanafanya hivyo,kwa tarifa
Kosa lake ni nini?, ebu ongea by fact na kuacha ushabiki Mkuu...
hii ni iringa sijui lowasa kafika lini iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.
Kweli white house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.
Dogo kwanini usiende kulalal kuliko kuwasumbua Watanzania? km mpaka leo hujaona kosa la FISADI EL tulia subiri mchakato wa Wataalam watakapochuja jina lake ili kuelekea CC-CCM, akifika hapa bahati yake CC-NEC
Lakini ni juha usipobaini ni kwanini gharama za Tanesco zilivyopanda kwenye Nchi yenye vyanzo vyote ya umeme wa bure (iliizia Symbion wamekuja badala ya nani ? na )
pia ni UJUHA kutumia mitandao na kutobaini kwanini Vocha za Vodacom na mitandao mingine inatuibia na kutupa 8Mb wakati nchi nyingine hii vitu ni bure Ulizia Alphatel ni ya Nani)
(tuachieni CCM yetu ninyi kaendelezeni biashara zenu kwani kabla ya kujiunga na CCM mlikuwa hamna kitu By Makongoro JK)
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.
Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.