by mcubic
Yeye alikuwa wa kwanza kutangaza nia.......hadi leo hii bado anasaka tu wadhamini....6 mwenzie kamaliza zamaaaaani alivyopata 450 tu basi..........
Mkuu mcubic sio tu alikuwa wa kwanza kuanza kusaka wadhamini pia ANATUMIA CHOPA, wenzake wanaotumia magari wamemaliza yeye bado TUU!
wonders!
Mnajua pesa kaiba ila kumshitaki hamwezi,nye kweli mazuzu
Kwani kuna kosa gani? Enyi watu mnaokaa na kumpinga EL kwa kila jambo, Ebu tupeni ushahidi kamili bila kupepesa macho kuhusu ufisadi mnaousema, Pia mtuambie kati ya wote walioomba nia kupitia CCM, nani asiye na kashfa na kawafanyia nini kizuri watanzania, Tuache unafiki na uzandiki!
Mpaka sasa ameshatembelea kusaka wadhamini mikoa 20!!! Wakati inayohitajika ni 15 tu.......eti wadhamini wengine atawaweka kama kmbkmb monduli.
Huyu hata huku arusha vijana wke wanatembeza form wanataka record y wadhamini laki ili kutisha wa2....pia wamemwambia azunguke mikoa yote 31 ili kuitia cc joto kweli mamvi anatafuta urais kwa nguvu nyingi
huyu mtu ni hatari sana
Kama anatishia cc basi hana nguvu kwa cc,mi nilidhani ameshasuka mpango huko cc kumbe bado anawatisha
Mimi nakaa sana na wa2 wke yani wanajiamini nchi wameshachukua istoshe wa2 wke wengi ni wasaka tonge......wanapangiana mpka udc
Jamaa anafanya kampeni kwa kusambaza pesa zetu alizotuibia kwa kisingizio eti anatafuta wadhamini
Mimi nakaa sana na wa2 wke yani wanajiamini nchi wameshachukua istoshe wa2 wke wengi ni wasaka tonge......wanapangiana mpka udc
hii ni iringa sijui lowasa kafika lini iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.
Kweli white house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.
Lowasa ni mpango wa Allah
cha kushangaza , pamoja na rafu zote lakini fomu haikamiliki tu ! wenzake wanarudisha lakini yeye bado haijai tu !
Kuna wapambe wake mahali fulani walisika wakisema "Sisi tunakula pesa zake tu , lakini ki-ukweli hamna rais humo"
Hayo majina anapelekewa halafu ndio fungu linatoka.Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.
Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.
Mwisho wake unafahamika hatapata mda wa kudanganya watu tena pesa alizoiba zinatosha.
Wakichemka lazima presha iwaue