Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,133
Reaction score
2,128
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.


Update 20/6

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/871241-lowassa-avunja-record-tena-elfu-58-wamdhamini-iringa.html

58 elfu, ni zaidi ya maigizo
 

Attachments

  • IMG-20150618-WA0024.jpg
    IMG-20150618-WA0024.jpg
    33.9 KB · Views: 2,890
  • IMG-20150618-WA0023.jpg
    IMG-20150618-WA0023.jpg
    41.3 KB · Views: 2,534
  • IMG-20150618-WA0022.jpg
    IMG-20150618-WA0022.jpg
    33.1 KB · Views: 2,260
Angalia kwenye umri hapo!Almost wote ni 20's years! Acha vijana wavune 'mapesa' ndiyo safari yao ya Matumaini!
 
Yeye alikuwa wa kwanza kutangaza nia.......hadi leo hii bado anasaka tu wadhamini....6 mwenzie kamaliza zamaaaaani alivyopata 450 tu basi..........
 
lowasandiye aliyetuleteana kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha,kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapazabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayo yalikuwamaamuzimagumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWA MASLAHIYAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA SASA WW ULIYEPEWA MGAO WA UFISADI WAKE UNATAKA KUMSAFISHA


 
Siasa ni mchezo Mchafu, hii yaweza kua ni moja wapo so sishangai upande pinzani au wa Mwenyewe kucheza rafu hizi.
 
hadi mtu unakua mdhamini huwa wanazigatia vitu gani? au mtu yoyote anaweza kuwa mzamini.
 
Jamaa anafanya kampeni kwa kusambaza pesa zetu alizotuibia kwa kisingizio eti anatafuta wadhamini
 
Wakati nimeanzisha thread hapa kuwa ccm wameanza kampeni wengi hamkunielewa!!!!!
 
Kwani kuna kosa gani? Enyi watu mnaokaa na kumpinga EL kwa kila jambo, Ebu tupeni ushahidi kamili bila kupepesa macho kuhusu ufisadi mnaousema, Pia mtuambie kati ya wote walioomba nia kupitia CCM, nani asiye na kashfa na kawafanyia nini kizuri watanzania, Tuache unafiki na uzandiki!
 
Yeye alikuwa wa kwanza kutangaza nia.......hadi leo hii bado anasaka tu wadhamini....6 mwenzie kamaliza zamaaaaani alivyopata 450 tu basi..........

Huyu mambo anayofanya hata siyaelewi, juzi mwandosya amesema kila mkoa wanatakiwa wadhamini 30 tu, sasa hayo maelfu ni mbwembwe tu, ili kutisha watu kuwa si mnaona jinsi ninavyokubarika? ole wenu mnikate!! Ila hadi sasa Steringi ameshauawa, hayo ni mateke ya mwisho dying horse!!! likikupata tu, na sasa baada ya jana jaji kuchukua fomu hali ya kambi ni tete sana,
 
Mwisho wake unafahamika hatapata mda wa kudanganya watu tena pesa alizoiba zinatosha.
Kumbe huyu jamaa ni mwizi na SISIEM hadi leo inamchekea,
SISIEM Imara ingekuwa imeshamvua uanachama siku nyingi kama inafahamu yote haya
 
Back
Top Bottom