Udhamini wa Jay Ruty Kwa Simba utuamshe Yanga

Mabadiriko yatakuja hapo Jangwani iwapo mashabaki wengi zaidi watakuja na mawazo kama yako kuwa-pressurise Viongozi wenu

Mkimtegemea Engineer peke yake sio rahisi kutokea
Nadhani kwakuwa timu inafanya vizuri
Sisi Wanachama tunaona sAwa ila kimsingi Mimi siridhiki na uwazi uliopo kwenye timu yetu
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Mdhamini wa utto alivyo msanii sasaivi ataunda kikampun fekero,then itaitwa media kujifanya kametoa udhamini wa billion 30 kwa miaka mitatu, media watalambishwa bahasha kuipa promo ili mazuzu ya uto yafarijike!!!
 
Hapana
Kwenye timu yetu mambo hayako wazi
Ni vile tu tuna timu Bora sisi Wanachama tunaona kawaida tu
Haha! kule pako wazi ila yule tajiri yao walahi huwa simuamini yule mshikaji!, bado anazile pigo za siasa!.. anaweza kutangaza namba na zisiwe za kweli!, hata lile tukio lake la utekwaji nyara namashaka ni movie!.. yule pesa anayo ila namichezo kama ya wasanii na wanasiasa anayo pia!.
 
Ona haters hili!!
 
😂😂umeandika kuataka sifa,haya mambo ni sawa na ahadi za ccm kwenye kampeni za uchaguzi!!. Viongozi na watu wa Tz wanajua ni nyakati gani wtz wanapaswa kupitishwa katika UPUUZI Ili wasihoji... Leo simba wapo kwenye kilele cha furaha . Hata mwijaku akiwaambia atajenga uwanja watakubali. Mo mpk leo anahangaishana na simba kutoa 20B na anapata pesa kupitia simba!. Labda baada ya miaka 20 ijao....
 
Uwazi wa mikataba Ni muhimu.
Tuwekee akiba ya maneno tunapo wapongeza Simba.
Kuna ahadi ya vitu amesema J-Rutty ngumu sana kuvitekeleza vyote ndani ya miaka 5.
Subiri uone uhalisia utarudi kufufua comment yangu. Time will tell.
Ahadi zingine zipo generic sana mfano hiyo ya kununua mchezaji mkubwa watakae muhitaji Simba kila msimu. Kwanini hakuna kiwango cha mwisho kununua hao wachezaji?

Biashara gani haipo katika namba kwenye Mkataba?
Hiyo ni open cheque? Mkataba unaweza kufikia mabilioni mengi sababu ya hao wachezaji.
 
🤝🤝😂😂 Huyu ni mtaka sifa na simple anallyisi zake!!.
 
Huo ni moja ya mikataba ya ovyo sana.
Imekaa kwa kufarahisha watu na uongo mbele ya safari.
I can bet my house kuna vitu havitatimizwa kisha wataomba kuongezewa muda watimize au watasitishiwa mkataba.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Huo mkataba namna pekee ya kutekelezeka kwake ni kama huyo mtu anatakatisha pesa tu, hakuna investment za hivyo.
 
Mzee Magori hakuna kisingizio tena kwenye usajili. Simba sasa ikachungulie mikataba ya watu kama Mousa Balla Conte wa CS Sfaxien, Adama Coulibaly yule wa Al Hilal ya Ibenge, na wengineo wenye viwango hivyo. Ikifika hivyo zile ndoto za kubeba CAF CL itatimia bila wasiwasi.
 
Nadhani kwakuwa timu inafanya vizuri
Sisi Wanachama tunaona sAwa ila kimsingi Mimi siridhiki na uwazi uliopo kwenye timu yetu
Wewe kweli ni mtu wa mpira

Hizi timu za Kariakoo zinawaingizia hela nyingi sana baadhi ya Wajanja wanaozitumia
 
Sisi kits zetu lazima zitoke gsm. Viongozi wetu wana maono makubwa sana, kila jezi inayouzwa klabu yetu inapata buku jero. Tuendelee kuwapongeza kwa maono haya na kuwabeba kama mizoga

1744830166132.jpeg
 
Back
Top Bottom