Kwenye mambo ya karma, hakuna may!, karma is for real.Hawa vibaraka ndo maana hawana maisha mazuri, sababu wanatumiwa kama Toilet paper, the power of KARMA may fall to them and their generations
maandamano huwa yapo kikatiba ....\Waache kukiuka amri halali za mamlaka
Pascal Mayalla kwa issue kama hii karma inamla nani?Kwenye mambo ya karma, hakuna may!, karma is for real.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Paskali
Karma huwa ina act kwenye kitu kinachoitwa men's rea na sio actus reus. Yaani mwenye dhamira ovu, nia mbaya na sio kitendo cha kifo cha binti ni bahati mbaya, ila dhamira ya mfyatuaji alidhamiria kumfyatua nani?!.Pascal Mayalla kwa issue kama hii karma inamla nani?
Mazingira, uzembe, umakini, kiburi, kutojali, hasira, amri.Karma huwa ina act kwenye kitu kinachoitwa men's rea na sio actus reus. Yaani mwenye dhamira ovu, nia mbaya na sio kitendo cha kifo cha binti ni bahati mbaya, ila dhamira ya mfyatuaji alidhamiria kumfyatua nani?!.
P