dah umeongea kitu kizito sana mkuu yani umenifanya nitoe machozi
Nimekuwa muhanga wa hilo jambo kama ilo nilipishana na lecturer kauli wakati nadai haki yangu badala yake alinifanyia visa mpaka akanidisco kwa ajili ya somo lake tu na maisha yangu yote ya chuo sikuwahi pata sup zaidi ya iyo moja ya huyo jamaa ambayo mwisho wake ilinifanya nidisco
Huwa naumia sana nikimkumbuka jamaa ila ninachomshukuru mungu sikukataa tamaa na sasa ninasonga mbele
Mi niliamua kuachana nae tu kwa sababu nilikuwa siwezi kabisa eleza popote nilijawa na hisira nilikua najikuta nalia tu badala ya kueleza shida yangu kwenye mamlaka husikaa kwa kwel iliniumiza sana mwishowe nikaamua ondoka tu na kuachana kabisa na ilo jambo mana nilihisi kabisa naweza kufa mana hayo ndo mawazo pekee yaliyoutawala moyo wangu kwa kipindi kile, na hapo kumbuka nilikuwa nimeshamaliza semister yangu ya mwisho ya mwaka wa tatu.
Ila kiukwel nashindwa kabisa msamehe mshikaji moyo wangu umejawa na kisasi juu yake huwa naomba mungu anisaidie niweze msamehe lakin kibinadamu siwezi kabisaa
Pole sana mkuu ila binafsi ninaamini maisha siyo elimu tu. You can make life better even if you don't have the papers.
Ushauri wangu kwako ni umsamehe na umwachie kwani moyo utakuwa na amani zaidi ya unavyodhani
Shallow mind
Katika hali isiyo ya kawaida imegundulika uwepo wa udhalilishaji mkubwa kwa wanawake wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini, data zinaeleza kuwa vyuo vingi vimekuwa na lecturer ambao hutumia nafasi hyo kuwataka kimapenzi wanafunzi na pindi mwanafunzi huyo akikataa basi matarajio yake katika masomo huwa yanapotea, wakati hilo likifanyika mkuu wa chuo pamoja na idara zake wanalijua hili lakini hakuna hatua zinazochukuliwa, kwa kuumizwa na suala hili nimeona nilete kwa wanajamvi ili ujumbe ufike kwa haraka wanawake wanateseka sana vyuoni mfano ni chuo kikuu kilichopo Tanga, DUCE na kile chenye idad kubwa ya wanafunzi Dodoma
Serikal kupitia vyombo husika chunguzeni haraka sana hali za wamama wetu vyuoni zinatisha
Acha upuuzi wewe we ndo umesoma vyuo peke yako? Hayo yapo , hata vyuo vya nje mambo hayo yapo. Nilishawahi kusoma na kufundisha chuo part time. Mambo ni disaster
dah umeongea kitu kizito sana mkuu yani umenifanya nitoe machozi
Nimekuwa muhanga wa hilo jambo kama ilo nilipishana na lecturer kauli wakati nadai haki yangu badala yake alinifanyia visa mpaka akanidisco kwa ajili ya somo lake tu na maisha yangu yote ya chuo sikuwahi pata sup zaidi ya iyo moja ya huyo jamaa ambayo mwisho wake ilinifanya nidisco
Huwa naumia sana nikimkumbuka jamaa ila ninachomshukuru mungu sikukataa tamaa na sasa ninasonga mbele
Mi niliamua kuachana nae tu kwa sababu nilikuwa siwezi kabisa eleza popote nilijawa na hisira nilikua najikuta nalia tu badala ya kueleza shida yangu kwenye mamlaka husikaa kwa kwel iliniumiza sana mwishowe nikaamua ondoka tu na kuachana kabisa na ilo jambo mana nilihisi kabisa naweza kufa mana hayo ndo mawazo pekee yaliyoutawala moyo wangu kwa kipindi kile, na hapo kumbuka nilikuwa nimeshamaliza semister yangu ya mwisho ya mwaka wa tatu.
Ila kiukwel nashindwa kabisa msamehe mshikaji moyo wangu umejawa na kisasi juu yake huwa naomba mungu anisaidie niweze msamehe lakin kibinadamu siwezi kabisaa
Katika hali isiyo ya kawaida imegundulika uwepo wa udhalilishaji mkubwa kwa wanawake wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini, data zinaeleza kuwa vyuo vingi vimekuwa na lecturer ambao hutumia nafasi hyo kuwataka kimapenzi wanafunzi na pindi mwanafunzi huyo akikataa basi matarajio yake katika masomo huwa yanapotea, wakati hilo likifanyika mkuu wa chuo pamoja na idara zake wanalijua hili lakini hakuna hatua zinazochukuliwa, kwa kuumizwa na suala hili nimeona nilete kwa wanajamvi ili ujumbe ufike kwa haraka wanawake wanateseka sana vyuoni mfano ni chuo kikuu kilichopo Tanga, DUCE na kile chenye idad kubwa ya wanafunzi Dodoma
Serikal kupitia vyombo husika chunguzeni haraka sana hali za wamama wetu vyuoni zinatisha
Chuo hakina externals????!!
Matokeo hayapiti vikao vya college, school levels???!!
Awkward case haijadiliwi! !!
Yaani chuo kiwe baina ya mwalimu na mwanafunzi tu???!!
Hutaji chuo wala idara, wala jina wala somo husika japo codes tu???!!!
Hivi mkuu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo ni bahati mbaya au naye anakubali kwa akili na hekima zake? kumbuka mtu aliyepo chuo ni "mature enough (+18) having clear concise" kwahiyo kila anacho kifanya anajua kwanini ana kifanya , ila tatizo kubwa la mademu ni kuwa hawataki kujishughulisha kwa kubukua kitabu, mfano mdogo wafanyie tahmini hat akwenye "group discussion" kuna kitu utagundua dhidi ya huo udhaifu wao.
mkuu hili swala la external kwa sasa mi naliona kama ni myth tu sidhani kama kweli lina uhai kwa sasa mana kama kweli wapo haya yanayotokea sidhan kama yangekuwa yanatokea
na ni rahisi sana sema ni awkward case kwasababu hayajakukuta na wala hayajawaji kukumkuta mdogo wako au mtoto wako ila omba sana mungu dunia tunayoishi sasa ni tofauti sana na ile ya zamani watu walikuwa wanafanya kazi kwa waledi ila sasa hivi hakuna kitu kama icho ni bora yaende tu
Najua ninachokisema!!!
Weak students wanaonekana kwenye pattern ya mkeka!!!
Dean ana nguvu ya kuitisha mpaka script ya somo lenye shida!!!
Weka matokeo ya masomo mengine hapa, hilo moja uliloonewa lingeshout tu!!
okyo ni bora ushuhuda wako utawaamsha waliolala kifikra na kudhan kila jambo ni la kuzusha,c ww tu wengi wameonewa sana.
of course kama mi nilikuwa mhanga kwa kuwa tu sikujua haki zangu za msingi ila kupitia hili nimejifunza mengi hayupo wakinitingisha kwa sasa