Udhalilishaji aliofanyiwa Profesa Assad kwa maelekezo ya Ndugai ni wa kuhuzunisha sana

Ndugai ni mpumbavu sana
 
Assad alijitakia mwenyewe, viongozi wetu waige viongozi wa Kenya kuwa na misimamo ya kiuongozi na kuachana na misimamo ya kishule ya kumuogopa headmaster.
 
Mjinga kabisa..sijui hata unaelewa kazi ya CAG. eti ndiye anaidhinisha fedha yote toka mfuko wa serikali. Kwa kua una simu ya touch unagonga tu ujinga.
 
Mkuu una ushahidi gani kuwa ni kwa maelekezo toka IKULU? Mkuu alishasema kuwa watu wasiseme maagizo toka juu ... Kwani Spika hana uwezo wa kujiamulia mambo yake ? Ina maana unadharau ofisi kubwa hii - yaani mhmili huru ? Mkuu angalia sana utaishia kuitwa maana kwa ufupi hapa unaelekea kulidhalilisha bunge ...
 

Aisee, ndivyo kilichofanyika, kwamba vua viatu, koti, mkanda kisha ingia kwenye mashine nk nk ?

Na kama gazeti la Mwananchi limetumia picha ya CAG akiwa kavaa kandambili, usililaumu gazeti....

Nina hakika nia ya gazeti ni kuutarifu umma kuwa, Prof alivuliwa viatu wakati akienda kuhojiwa na CAG na ndiyo maana na wewe umeona na kuja na mada hii....

All in all ni message tunayopewa deep down ni kuwa huyu ni mhalifu na anapaswa kuwa treated as a criminal...!!

Paschal Mayallah atupe uzoefu wake naye. Is it how it's done??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…