Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,364
- 11,520
Mnao uhakika wa hilo ama ni kulaumu tu kwa sababu ya mahaba kwa timu zetuSerikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.
Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?
Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.
Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.
Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Serikali haina issue kwenye hili Yanga waoga.Sijui nilaumu serikali au nilaumu Yanga. Nitarudi.
SSH ni failure from the beginning.Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.
Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?
Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.
Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.
Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
We huoni hasara waliyopata watu au unaropoka tu.Mnao uhakika wa hilo ama ni kulaumu tu kwa sababu ya mahaba kwa timu zetu
Simba wanafiki sana inaonekana ndio walio engineer hili sualadaaahhh Simba wameonesha unafiki... walipaswa kufika saa ile ile iliyopangwa
Angekua magufuri ndo angenangwa zaidi, na vile alikua hapendwi lol.Mbona kuna mambo mengi tu yamewahi ahirishwa hatukusema serikali iliyopita ni dhaifu? Au sasa imegeuka ni hoja ya kumnanga mama?